Chagonja astaafu polisi

Chagonja astaafu polisi

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
137,556
Reaction score
272,296
Ni miongoni mwa maofisa wa ngazi ya juu wa jeshi la polisi wanaotarajiwa kuagwa katika hafla inayotarajiwa kufanyika kwenye chuo cha Taaluma ya polisi jijini DSM , Wengine ni aliyekuwa kamishna wa polisi Zanzibar , Hamdani Omari Makame na aliyekuwa kamishna wa Tume ya kudhibiti Dawa za kulevya , Keneth Kaseke .

Msemaji wa polisi , Barnabas Mwakalukwa ametanabaisha kwamba katika utumishi wao uliotukuka wameliletea sifa jeshi la polisi , ndani na nje ya nchi .

Chanzo - Nipashe .

Kila la heri Chagonja .
 
Wamesoma alama za nyakati ndiomaana wamejiepusha kuondoka kwa fedheha
 
Kuna yule mwenye tumbo kuubwa hivi mweusi sana aliesababishaga kifo cha mwandishi wa habari kiwe kama kafa paka tu na si binadamu kwa jinsi kesi ilivyoshughulikiwa siku hizi naye yuko wapi?

sent from my Infinix S2 Pro using JamiiForums mobile app
 
Hivi chagonja ndio yule aliyewapiga vijana mshiko akishirikiana na mke wake ili awaunganishie ajira za polisi?
 
Kuna yule mwenye tumbo kuubwa hivi mweusi sana aliesababishaga kifo cha mwandishi wa habari kiwe kama kafa paka tu na si binadamu kwa jinsi kesi ilivyoshughulikiwa siku hizi naye yuko wapi?

sent from my Infinix S2 Pro using JamiiForums mobile app
Unamzungumzia kamishna Kamhanda ?
 
Ni miongoni mwa maofisa wa ngazi ya juu wa jeshi la polisi wanaotarajiwa kuagwa katika hafla inayotarajiwa kufanyika kwenye chuo cha Taaluma ya polisi jijini DSM , Wengine ni aliyekuwa kamishna wa polisi Zanzibar , Hamdani Omari Makame na aliyekuwa kamishna wa Tume ya kudhibiti Dawa za kulevya , Keneth Kaseke .

Msemaji wa polisi , Barnabas Mwakalukwa ametanabaisha kwamba katika utumishi wao uliotukuka wameliletea sifa jeshi la polisi , ndani na nje ya nchi .

Chanzo - Nipashe .

Kila la heri Chagonja .
Walileta SIFA gani? Chagonja mwenyewe alikuwa MTU wa kusinzia sinzia tu na kusahau sahau.
Kwa kifupi Paulo Chagonja alikuwa chief Instructor wangu ni MTU social sana, hafuati umbea mbea.
Kwa sasa bado ni RAS -KATAVI.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jamani nauliza Alfred Gewe yupo wapi, alikuwa ananifurahisha utendaji wake yule mzee,
 
Back
Top Bottom