Kweli kabisa wanaume tumebaki wachache.Kupiga chafyana kukohoa inazuilika tu.
Unakuta wanaume wazima mnashindwa kujizuia kikohozi na chafya kikikujia.
Mwanamme vitu vidogo kama hivi vinazuilika tu.
Kweli wanaume tumebaki wa chache.
Chafya mwili umehisi hatari unachukua hatua dhidi ya hatari hiyo kwanini uuzuie mwili kurekebisha tatizo
Haha
Huyo kenge amekulipa uje kunichimba mkwara mbuzi siyo.Tulia weweee
Nafurahi kuona umefika stage hii maana nishakuWin Psychologically na huu ni ushindi mkubwa sana kwangu .
Bange mbaya sana mkuu hapo katoka kulivuta baada ya kubeba boksi na kuosha vikongwe .Aisee
Umeingia humu na ID zako zote kuanzia na mpya alioanzishia Uzi
Mbrrrrrrrrr
Nacheka sana nikiona ID zako na hizo avatar za kiduwanzi 😂 😆Kupiga chafyana kukohoa inazuilika tu.
Unakuta wanaume wazima mnashindwa kujizuia kikohozi na chafya kikikujia.
Mwanamme vitu vidogo kama hivi vinazuilika tu.
Kweli wanaume tumebaki wa chache.
Mwamba kapiga mpaka mbrrrrrmbrrrr , itakuwa anakufahamu vyemaHahahahahaaaaa
Hahahahaha!! oya Mgerasi afungwe kamba yaani ID Tano za kiduwanzi linaJiLike na kuJiQuote.Ndugu yangu njoo na I'd moja inaitwa ghayo de mbusii
Huyu jamaa saiv kapoa sana miaka ya nyuma 2016 na 2017 alikuwa mgomvi kinoma mimi nimegombana naye sana humu ndani mwisho wa siku tukawa washikajiHahahahaha!! oya Mgerasi afungwe kamba yaani ID Tano za kiduwanzi linaJiLike na kuJiQuote.
Ninecheka sana eti Ghayo de mbusi , asichojua Mimi ni Master nina mbinu kibao za mapambano yeye anaishi kucopy kama reckless bull sasa kaingia mtegoni nimemzunguka baada ya kuingia mkenge.
Huyu mgerasi nae kapagawa na pepo wachafu sio bure!
Hata wewe Zamani ulikuwa mkorofi sana kipindi upo mgeni Jf ulikuwa una nyuzi za kiwaki sana nyingi zikiwa visa vya kuwala kimasihara walimuHuyu jamaa saiv kapoa sana miaka ya nyuma 2016 na 2017 alikuwa mgomvi kinoma mimi nimegombana naye sana humu ndani mwisho wa siku tukawa washikaji
Ndo mwanzilishi wa majina kama semenya, mgerasi, myebusi , de mbusii , mafiii