‘’Chafya’’ moja ya CCM, imewaacha CHADEMA wakiweweseka!

Usidanganyike Edward Lowassa is nothing kwa watanzania subiri 2020 au jiulize ile kura moja Ukawa waliipata kutoka CCM kwenye uchaguzi wa naibu meya wa jiji inaashiria nini kwenye uchaguzi wa 2020. Ujue una maccm wengi wamevaa nguo za kijani lakini roho Ukawa. Time will Tell '
Mkuu,
CHADEMA wamekuambia Lowassa ni tembo wa siasa za Tanzania!

Kwamba kuna Maccm wengi lakini roho zao ziko ukawa. Huu utafiti uliufanya lini na umetumia research methodology gani?

Kumbuka pia wapiga kura wa kura za Udiwani, Ubunge na Urais sio wanachama wa vyama pekee, in fact, wapiga kura wengi sio wanachama wa vyama vya siasa.

Hoja yangu hapa ni CHADEMA kuweweseka baada ya mazungumzo kati ya Rais Magufuli na Lowassa.
 
Chadema haiwezi kuweweseka kwa Lowassa kuongea na Rais Magufuli kwani anatumia haki yake ya kidemokrasia ya kuwa na mazungumzo na kiongozi halali wa Tanzania
Kabla ya Lowassa kuja Chadema. Chadema ilikuwepo kama chama
 
Back
Top Bottom