J Jeho JF-Expert Member Joined Jul 2, 2011 Posts 5,068 Reaction score 5,558 Feb 4, 2012 #1 Wadau nawakariibisha sana wakati huu tujumuike pamoja katika kuchafua jina lakini in the other hand unajenga afya. Mimi hapa nachafua jina kwa ugali na mlenda plus mtindi. Karibuni sana, sharti mojawapo unatakiwa usiwe na aibu.
Wadau nawakariibisha sana wakati huu tujumuike pamoja katika kuchafua jina lakini in the other hand unajenga afya. Mimi hapa nachafua jina kwa ugali na mlenda plus mtindi. Karibuni sana, sharti mojawapo unatakiwa usiwe na aibu.