Chadema

Chadema

tindiga la wapi mkuu......dadavua.....Mbauda......Kijenge.....Unga LTD.....Sakina.....Ngaramtoni.....Sanawari......au wapi.....?
 
Hivi Engutoto si pia kuna uwanja
 
tindiga la wapi mkuu......dadavua.....Mbauda......Kijenge.....Unga LTD.....Sakina.....Ngaramtoni.....Sanawari......au wapi.....?

Nafkiri anamanisha uwanja wa Suye pale mbele ya Maasai Camp..tulikuwa tunauita uwanja wa tindigani, lkn pia kuna uwanja wa tindigani kimandolu ukipitia njia ya Kijenge juu kutokea kwa Shabani pia kuna tindigani mbauda ila sidhani ka anamanisha huko!
 
ok sawa sawa.....basi angeandika na sehemu ulipo.....
 
tindiga la wapi mkuu......dadavua.....Mbauda......Kijenge.....Unga LTD.....Sakina.....Ngaramtoni.....Sanawari......au wapi.....?

Uwanja wa Tindigan uko Kimandolu karibu na ofisi ya kata!Jamaa ana wazo zuri sn but hii sehemu iko mbali na mji kati.
 
na ule wa kule sinoni shuleni haufai? Mkubwa sana.
 
Nilikuwa namaanisha ule uliopo kijenge ya juu karibu na ofisi ya kata ya kimandolu
 
Ulinichanganya mbaya maana niliwaza viwanja vingi vya tindigani hapa Arusha
 
Back
Top Bottom