Chadema

Chadema

Be Blessed. Hii nchi ingekuwa Under CDM after 5 yrs.Tungeanza kutoa misaada na kuacha tabia za kuombaomba. Tanzania yetu ina kila rasilimali.
 
Ndio kama hivyo CDM ni vichwa tangia wakiwa darasani na sasa hata nje ya darasa heko kwa walim wao wa tangia primary
 
The most crapiest sredi ever!!Mods funga hii
 
mbo....we. na silaha kichwani matope matupu je? hao wafuasi wao ni vichwa vya kuku.
 
Ili uwe chadema ni lazima upate mind liberation na uwezo wa kujitambua.kinyume cha hapo we utabaki kuliwa ukiwa hujijui.amkeni nchi inabakwa hii na magamba.
 
Be Blessed. Hii nchi ingekuwa Under CDM after 5 yrs.Tungeanza kutoa misaada na kuacha tabia za kuombaomba. Tanzania yetu ina kila rasilimali.
Mbona Mkoa wa Kilimanjaro hautoi misaada kwa Mikoa mingine?
 
Back
Top Bottom