Tindo Platinum Member Joined Sep 28, 2011 Posts 71,791 Reaction score 128,814 Dec 17, 2021 #21 Pohamba said: Mlifata nini kwny kikao cha TCD ambacho mnajua Zitto ni mwenyekiti na mlipeleka makabrasha kwa Mangula kwa kasababu gani? Click to expand... Kuna masharti yoyote yaliwekwa kuhudhuria mkutano wa TCD? Makabrasha aliyopewa Mangula ni ili aache upotoshaji na sio kusaidia lolote. Yeye mwenyewe Mangula kalishwa sumu na hajafanya lolote, ndio atamtea Mbowe? Mzee unakwama wapi?
Pohamba said: Mlifata nini kwny kikao cha TCD ambacho mnajua Zitto ni mwenyekiti na mlipeleka makabrasha kwa Mangula kwa kasababu gani? Click to expand... Kuna masharti yoyote yaliwekwa kuhudhuria mkutano wa TCD? Makabrasha aliyopewa Mangula ni ili aache upotoshaji na sio kusaidia lolote. Yeye mwenyewe Mangula kalishwa sumu na hajafanya lolote, ndio atamtea Mbowe? Mzee unakwama wapi?