CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Tanga kimepata wanachama wapya zaidi ya 300.
Wanachama hao wamepatikana katika mikutano ya hadhara iliyofanyika katika wilaya za Handeni, Muheza na Korogwe uliohutubiwa na Katibu wa chama hicho Mkoa wa Tanga, Jonathan Bahweje.
Wanachama 220 wamejiunga na chama hicho katika mkutano wa hadhara uliofanyika Kijiji cha Kwengoma, Kata ya Kwamatuku, Wilaya ya Handeni na wanachama 71 ni kutoka Kibanda, wilayani Muheza.
Wanachama wengine 21 akiwamo mwenyekiti wa serikali ya kitongoji cha Turiani, Bakari Kimea walijivua uanachama wa CCM kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Kwashemshi, Wilaya ya Korogwe.
Wakizungumza katika mikutano hiyo baada ya kujiunga na CHADEMA, walisema wameamua kukihama Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kuwa kimeshindwa kuondoa kero zinazowakabili kwa miaka mingi.
Miongoni mwa kero hizo kwa mujibu wa wananchi hao ni unyanyaswaji unaofanywa na viongozi wa serikali za vijiji, kunyanganywa ardhi, kero ya maji na kuvunjiwa mikataba na muwekezaji.
Source:Tanzania Daima Jumanne

Miongoni mwa kero hizo kwa mujibu wa wananchi hao ni unyanyaswaji unaofanywa na viongozi wa serikali za vijiji, kunyang'anywa ardhi, kero ya maji na kuvunjiwa mikataba na muwekezaji.

Je kwa kuhamia CDM ndio hizo kero zitaondoka?
Au kwa kuhamia CDM wataziondoa vp hizo kero?
Je CCM wakiziondoa hizo kero watabaki CDM au watarudi CCM?
Tunapopokea wanachama kutoka chama kingine wanaokuja na sababu rukuki za kukashfu chama wanachotoka mimi huwa nawaona ni kama wanamuziki wanaohama Band moja kwenda Band nyingine maana huwa wanasema sababu kibao za kuziponda Band wanazotoka mara wanarudi kule kule wengine tena kwa mbwembwe wakisema nyumbani ni nyumbani
Muwe makini na wanachama mnaowapokea kwenye vyama vyenu
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Tanga kimepata wanachama wapya zaidi ya 300.
Wanachama hao wamepatikana katika mikutano ya hadhara iliyofanyika katika wilaya za Handeni, Muheza na Korogwe uliohutubiwa na Katibu wa chama hicho Mkoa wa Tanga, Jonathan Bahweje.
Wanachama 220 wamejiunga na chama hicho katika mkutano wa hadhara uliofanyika Kijiji cha Kwengoma, Kata ya Kwamatuku, Wilaya ya Handeni na wanachama 71 ni kutoka Kibanda, wilayani Muheza.
Wanachama wengine 21 akiwamo mwenyekiti wa serikali ya kitongoji cha Turiani, Bakari Kimea walijivua uanachama wa CCM kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Kwashemshi, Wilaya ya Korogwe.
Wakizungumza katika mikutano hiyo baada ya kujiunga na CHADEMA, walisema wameamua kukihama Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kuwa kimeshindwa kuondoa kero zinazowakabili kwa miaka mingi.
Miongoni mwa kero hizo kwa mujibu wa wananchi hao ni unyanyaswaji unaofanywa na viongozi wa serikali za vijiji, kunyanganywa ardhi, kero ya maji na kuvunjiwa mikataba na muwekezaji.
Source:Tanzania Daima Jumanne
Hoja za CHADEMA siku zote hazibadiliki kuanzia mwenyekiti wao hadi wapambe wao walioko humu Jf na hata wale wanaojidanganya kuwa kero zao zitaondolewa na mtu mwingine au chama fulani badala ya kufanykazi kwa bidii kwa kutumia fursa zilizopo.
Kwa kauli hii umekubali kuwa ccm haiwezi kuondoa kero za wananchi!au siyo?kwa hiyo basi waambie wananchi popote kuwa wasipoteze muda kushabikia ccm ila wafanye kazi,chadema wanasema watasimamia vyema rasilimali za nchi ili kuhakikisha kuwa zinawanufaisha wananchi wote,pamoja na kupambana na ufisadi unaofanywa na viongozi wa ccm,huku wakisisitiza umuhimu wa kila mmoja kufanya kazi kwa bidii ili kujiletea maendeleo!!hawa si wapo sahihi kabisa mkuu?huwa napenda unavyoweza kuwa mkweli sometime.Hoja za CHADEMA siku zote hazibadiliki kuanzia mwenyekiti wao hadi wapambe wao walioko humu Jf na hata wale wanaojidanganya kuwa kero zao zitaondolewa na mtu mwingine au chama fulani badala ya kufanykazi kwa bidii kwa kutumia fursa zilizopo.
Hoja za CHADEMA siku zote hazibadiliki kuanzia mwenyekiti wao hadi wapambe wao walioko humu Jf na hata wale wanaojidanganya kuwa kero zao zitaondolewa na mtu mwingine au chama fulani badala ya kufanykazi kwa bidii kwa kutumia fursa zilizopo.
Halafu shida ndio zinaisha au?Tukimaliza Tanga tunakuja Bagamoyo Musoga,
Tutahakikisha mpaka wajumbe wa nyumba kumi pale Musoga wanakuwa wa Chadema!
We mwenyewe ni ccm damu, unaandika cdm lakini kimoyomoyo unaitaja ccm chama dumeTukimaliza Tanga tunakuja Bagamoyo Musoga,
Tutahakikisha mpaka wajumbe wa nyumba kumi pale Musoga wanakuwa wa Chadema!
We mwenyewe ni ccm damu, unaandika cdm lakini kimoyomoyo unaitaja ccm chama dume