Hivi yule mwenyekiti wa CUF ambaye alikuwa anapandikiza chuki msikitini ili watanzania wachukiane bado nae anaaminika huku akikiri kuwa alikuwa anampigia kiongozi wa chama tawala kampeni na huku nae anagombea, msalimie