Nimefanya graphical interpolation, kwa exponential function napata wabonge kama 120 kwa CDM. Hii ina maana kwamba CDM wasilale. Hii ni zaidi kidogo sana ya nusu. Ila itakuwa safi sana, Ile dioooo itaisha. Lakini kama ruswa na uizi wa kura vikizibitiwa CCM watakuwa na hali mbaya sana. Hiyo chini ya nusu ni CUF na CCM.
Ungekuwa na uelewa kidogo wa hesabu fanya hivi
Chora graph ya idadi ya wabunge kuanzia 1995 hadi 2012
-Vertially (wima) idadi ya wabunge
-Horizonally (mstari wa ulalo) miaka
a) chora ya ccm
b) chora ya cdm
Conclusion graph ya ccm inashuka/decrease wakati ile ya chadema inapanda/increase
Je unasemaje kwamba hapo hamna kitu wakati kuna positive gradient kwa cdm na negative kwa ccm?
Graph hata ikionyesha hivyo je unajua gharama mnayotumia kuwahadaa watanzania.
Graph hata ikionyesha hivyo je unajua gharama mnayotumia kuwahadaa watanzania.
Haya ni maneno ya kupeana moyo hamna lolote.
Mwalimu Lwaitama, kamakiza mengi leo kuhusu Mabomu ya Arusha na Ugaidi "ni dalili za serikali kushindwa kazi".wanaikubali sana CDM japo hawataki kuweka hadharani na wakae chonjo kuanzia mwakani tutakapoanza kuwakamulia maji ya machungwa machoni ...2014 is coming tomorrow and liberation is nearer than ever b4
Fanya udadisi acha kukurupuka!
Kesi zote ambazo chadema wamefunguliwa watanzania wanaona kama wao ndiyo wamefunguliwa kesi, ndiyo maana wameichukia ccm na serikali yenu. Hafa kauli ya kusema PM ni -------- ilisemwa na Watanzania waliowakilishwa na Mbilinyi. Mahakama nayo imeona jamaa ni -------- kutamka kauli za kipumbavu!!!!
mkuu sasa hivi neno mpu.mbavu halitokei limeshawekwa kwenye black list , ukitaka litokee tupia na kinukta katikati.
Mkuu nimeona, naona Mods wetu wameingiwa na uwoga wakati mahakama imethibitisha kuwa neno MMPUMBAVU ni sifa
Nini tena jamani?