CHADEMA yazidi kung'aa Bukoba Mjini

CHADEMA yazidi kung'aa Bukoba Mjini

KALYABUNUNU

Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
21
Reaction score
7
M/kiti wa CHADEMA wilaya Bukoba mjini amefungua matawi 8 ktk kata KITENDAGURO ambapo kadi za CCM 1931 zimekusanywa na wanachama hao wamepewa kadi za CHADEMA. Mtaa uliokusanya kadi nyingi ni mtaa BUGAMBAKAMO ambao SAMWEL LUHANGISA aliutumia kama ngome
 
Acha tusonge mbele wao wako hapa jamiiforum kufanya sisa ushenzi za akina Ritz na wenzake
 
M/kiti wa CHADEMA wilaya Bukoba mjini amefungua matawi 8 ktk kata KITENDAGURO ambapo kadi za CCM 1931 zimekusanywa na wanachama hao wamepewa kadi za CHADEMA. Mtaa uliokusanya kadi nyingi ni mtaa BUGAMBAKAMO ambao SAMWEL LUHANGISA aliutumia kama ngome

Mkuu Kalyabununu vipi hali Bukoba kwa ujumla? Je bwana Lwakatare ameishaanza shughuli au vipi?
 
M/kiti wa CHADEMA wilaya Bukoba mjini amefungua matawi 8 ktk kata KITENDAGURO ambapo kadi za CCM 1931 zimekusanywa na wanachama hao wamepewa kadi za CHADEMA. Mtaa uliokusanya kadi nyingi ni mtaa BUGAMBAKAMO ambao SAMWEL LUHANGISA aliutumia kama ngome

Hili ni fundisho kwa wale wanadhani CDM ni majina ya watu.

Chadema ni chama, kinawakilisha waliowengi watanzania wanaoamini katika haki kweli na mafanikio ya kweli kwa kila mmoja wetu.
 
Hakika watu wamekubali na kuyapokea mabadiliko kupitia CHADEMA, watu wamechoshwa na ufisadi wa CCM!
 
Hakuna kitu kama hicho ; chadema imekufa kifo kibaya na watu hawamtaki tena rwakatare.
Mwambie aweke picha utalia ukiona , chadema ilivyo kiwisha; hakiweka picha na mi naweka kuonyesha ukweli
 
wabuyaga;7774598]Mkuu Kalyabununu vipi hali Bukoba kwa ujumla? Je bwana Lwakatare ameishaanza shughuli au vipi? Bado ila watu wanaiamini sana chadema.
 
hongereni makamanda sisi huku rombo tushamaliza kazi tunakumbushia tu
 
Kufikia 2014 October kila palipo na balozi wa ccm kuna balozi wa chadema
 
Sehemu ambapo kiwango cha elimu ni kikubwa kama Bukoba inabidi ccm itokomezwe kabisa!

CDM Kagera tunawategemea mpate ushindi mkubwa kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa.

Hongereni kwa kazi nzuri. Hizi bila shaka ni rasharasha, tunasubiri mvua zenyewe mwakani. Our prayers are with you!
 
M/kiti wa CHADEMA wilaya Bukoba mjini amefungua matawi 8 ktk kata KITENDAGURO ambapo kadi za CCM 1931 zimekusanywa na wanachama hao wamepewa kadi za CHADEMA. Mtaa uliokusanya kadi nyingi ni mtaa BUGAMBAKAMO ambao SAMWEL LUHANGISA aliutumia kama ngome

huraaaa ndo kwanza mambo zmeanza.....CHADEMA hyo n ngome yenu, hakuna cha kujivunia ka srkl rojorojo tuliyonayo, kipato cha mkoa kinazd kudorora, elimu ya kagera ndo kwanza imebaki historia, kahawa haina soko, vyama vya ushirika chalii...TIME FOR CHANGE
 
Asante sana kamanda , hata TEMEKE cdm inasonga mbele kwa kasi mno , keko machungwa , keko mwanga , kurasini , keko juu ccm kwisha kazi .
 
Back
Top Bottom