respect wa boda
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 4,556
- 3,844
1. Mwigamba amevuliwa uanachama kwa kuisema kweli daima
we umetokea wapi!?
1. Mwigamba amevuliwa uanachama kwa kuisema kweli daima
Juha ni wewe usiyejitambua unawasemea wengine
Chadema ni chama kisicho na dira na mwelekeo kabisa
Na bdo mtalia sanaunafikiri Dr kitila,mwigamba kufukuzwa CHADEMA ni ushindi kwa Chama? mjinga ni mjinga tu.
Chadema ni chama kisicho na dira na mwelekeo kabisa
Tupe taarifa mbona kimya kimetawala au ngumi tayari zinapigwaNdugu Wanachama wote pamoja na Watanzania wote kwa ujumla tupo hapa live kuwaletea mkutano na Waandishi wa habari ambao utaanza hivi pindi kuwajilisha maamuzi ya Kamati Kuu ya Chama iliyokutana tarehe 03-04/01/2014 katika Ukumbi wa Mbezi Garden jijini Dar es Salaam. Karibu sana.
mi nlidhani we ndo afisa habari wa cdm kumbe mganga njaa tu
Asante chama changu makini, mnanipa zawadi ya 2014 huku naona kwa macho yangu ya nyama,
Shibuda kaogopa kaona kumbe Chadema haitanii baada ya kushughulikia Mapapa wa Usaliti.
Mengine ni ya udaku huwa hatusomi labda nyie bku sabamjinga ni mjinga. ina maana hata usomi magazeti.
Harakati za wachagga?Fukuza wasaliti wote!! Hatuwataki watatuharibia harakati zetu za ukombozi
Asante chama changu makini, mnanipa zawadi ya 2014 huku naona kwa macho yangu ya nyama,
Kaskazini ni wapi Mkuu?Mwigamba anatoka kusini? Ukristo je? Kitila Mkumbo na Mwigamba ni Waislamu? Hoja imepoteza ladha labda kwa Bibi yako kule kijijiniChadema+ukaskazini+ukristo ndo zetu,tangia lini kigoma wakajua siasa,ngoja tuwafunze
Utakaa sanaTupe taarifa mbona kimya kimetawala au ngumi tayari zinapigwa
Kama nyie tegemeo la Chadema CCM hata wamsimaishe Le Mutuz kwenye urais anashinda.Asante chama changu makini, mnanipa zawadi ya 2014 huku naona kwa macho yangu ya nyama,