CHADEMA yawavua uanachama Dr. Kitila Mkumbo na Samson Mwigamba

CHADEMA yawavua uanachama Dr. Kitila Mkumbo na Samson Mwigamba

Tunasubili kusikia maamuzi ya hicho kikundi cha wahuni kinachojiita cc
 
tupo standby hapa kiomboi, wakiwapiga chini nasi tunawapiga chini live!
 
Kwani nini cha ajabu tunajua kafukuzwa mwigamba na kitila hakuna kipya mengine majungu.
 
Jamani walinzi muwe karibu ngumi na matofari havikawii hapo
 
Ben tulia kwanza sun kila kitu kitakaa mahala pake,mccm hayanaga afya tena ni matumbo tuu
 
Hivi ni nani hasa huwa anaripoti kupitia hii account ya Kurugenzi ya Habari? Maana hizi ID za chadema zinachanganya mara tumaaaini makene, mara mtoi mara yericko..ila ukiungnisha dots utagundua kuwa dr slaa sikuizi ndio anaitumia hii acount kw sababu ile yake toka nimseme ameach kabisa kuitumia
 
Last edited by a moderator:
lumumba wameambiwa waingie jamii as guest kwani ni mamuzi makini yanatangazwa wasichangie ki div 5 watamuumbua mulugo wasome badaye watajadili wajue jinsi ya kuchangia malipo kwa kuwa umeme umepata ni tsh,11850
 
Back
Top Bottom