Nimeamini wewe ni zao la div 5 pole mkuu kafuge ngombe huku unapoteza muda...π‘πKufuatia moto wa cdm kuwa mkali na hivyo kupelekea wananchi wengi kuipenda cdm na kuisusa ccm,wana ccm kupitia jumuiya ya wazazi mkoa wa mara wameanza kufanya kwa kukurupuka bila kujali mipaka yao ya kiuongozi na kuwatishia watumishi wa taasisi za kiserikali kuwa jumuiya hiyo ya wazazi ya ccm itaanza kuwachukulia hatua hao wafanyakazi,hivi jumuiya ya wazazi ya ccm imepata wapi mandate ya kuwafukuza watumishi wa umma?naamini cdm imeanza kuwatia kiwewe hao ma ccm.Hongereni sana wana cdm na ukawa kwa ujumla kazeni uzi hivyo hivyo
Hahahaa mkuu,umemkumbusha huyo atekeleze ile kauli ya "ulipo tupo" sasa akachunge ng'ombe na babu yake aliyehojiwa bbc. Hakika ni zao la division 5 na alipata 0.Nimeamini wewe ni zao la div 5 pole mkuu kafuge ngombe huku unapoteza muda...π‘π
Divisio five .......kaleta baba Riz mwenyekiti wa chama.chakavuHahahaa mkuu,umemkumbusha huyo atekeleze ile kauli ya "ulipo tupo" sasa akachunge ng'ombe na babu yake aliyehojiwa bbc. Hakika ni zao la division 5 na alipata 0.
Mmawia mi sikushangai bado upo katika maisha ya itikadi, ni hatua lazima uipitie ili uweze kufikikia hatua ya kuwa binadamu mwenye fikra huru, endelea ipo siku utaona maisha hayaongozwi na itikadi wala Imani za kusigana.Kufuatia moto wa CHADEMA kuwa mkali na hivyo kupelekea wananchi wengi kuipenda CHADEMA na kuisusa CCM,wanaccm kupitia jumuiya ya wazazi mkoa wa Mara wameanza kufanya kwa kukurupuka bila kujali mipaka yao ya kiuongozi na kuwatishia watumishi wa taasisi za kiserikali kuwa jumuiya hiyo ya wazazi ya CCM itaanza kuwachukulia hatua hao wafanyakazi.
Hivi jumuiya ya wazazi ya CCM imepata wapi mandate ya kuwafukuza watumishi wa umma?
Naamini CHADEMA imeanza kuwatia kiwewe hao CCM.
Hongereni sana wanachadema na UKAWA kwa ujumla, kazeni uzi hivyo hivyo
wewe nae ni jipu son tutapasua.Nimeamini wewe ni zao la div 5 pole mkuu kafuge ngombe huku unapoteza muda...π‘π
Kwa akili hapo ndio umeandika kitu gani mkuu Omuchimati?Mmawia mi sikushangai bado upo katika maisha ya itikadi, ni hatua lazima uipitie ili uweze kufikikia hatua ya kuwa binadamu mwenye fikra huru, endelea ipo siku utaona maisha hayaongozwi na itikadi wala Imani za kusigana.
ukitaka kujua zaidi jaribu kuuliza elimu ya hao viongozi wenyewe , aibu ! Mwenyekiti wa Taifa anaitwa Bulembo , ndiye boss wa Le Mutuz .Kufuatia moto wa CHADEMA kuwa mkali na hivyo kupelekea wananchi wengi kuipenda CHADEMA na kuisusa CCM,wanaccm kupitia jumuiya ya wazazi mkoa wa Mara wameanza kufanya kwa kukurupuka bila kujali mipaka yao ya kiuongozi na kuwatishia watumishi wa taasisi za kiserikali kuwa jumuiya hiyo ya wazazi ya CCM itaanza kuwachukulia hatua hao wafanyakazi.
Hivi jumuiya ya wazazi ya CCM imepata wapi mandate ya kuwafukuza watumishi wa umma?
Naamini CHADEMA imeanza kuwatia kiwewe hao CCM.
Hongereni sana wanachadema na UKAWA kwa ujumla, kazeni uzi hivyo hivyo
Bado hujawa binadamu mwenye fikra huru, bado upo utumwani.Kwa akili hapo ndio umeandika kitu gani mkuu Omuchimati?
hilo jina tu mkuu , huyo jamaa kwao ni CHILONWA - Dodoma vijijini .Hivi jimbo la moshi vijijini linaongozwa na mbunge kutoka chama gani?
Una moyo sana kujibu hii hoja vipi lugumi hajambo?Nimeamini wewe ni zao la div 5 pole mkuu kafuge ngombe huku unapoteza muda...π‘π
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nimeamini wewe ni zao la div 5 pole mkuu kafuge ngombe huku unapoteza muda...π‘π