Nimewaona wapambe wao jana pale coffee shop mwanza hotel, wamejazana wananunuliwa chakula cha usiku!
Huku wakimsifia eti 'rais ajaye!?'
Roho ikaniuma sana, ukiwaangalia hali zao, unasikitika! Lakin ndo wakipewa sahani ya chips na rost kuku na wengine bia, wanajitia wamesahau shida zao!
When they wake up, they will realize that it was just a dream!! A day dream!