Molemo Rafiki yangu, una uhakika na unachokisema kweli?
I tried to educate him but I found out that he is a pathetic fool!!!so I stopped henceforth!but you've dare arguing with a fool like ......!! haahaahaahaaaa kaazi kweli kweli!
Mtwara tumechoka sana wakuu ,huku fikra zetu zimeganda balaa tunaomba hao chadema watuchangamshe ili na sisi akili izibuke.karibu jamani Tumeteseka sana miaka 50 pamoja na kutoa rais tuko kama mazuzu welcome guys M4C FOREVER
Tunakumbushi mlichokisema na end result yake! na mtwara itakuwa hivyo hivyo...
Kwa watu wanaolewa mwenendo wa CDM na uducteta uliopo, hawawezi kukishobokea CDM.
Am happy watu wa Pwani ni waelewa na wanajua kupima mambo kabla ya kukurupukia vitu!
tena huko kwenye ngome ya magamba ndo poa sana......Mmechemka, hii ni ngome ya CCM !!!!!! Tangu lini Mmakonde aolewe na Mchaga???
Unajua unachouliza? Hata Mzee Ngombale mambo yakimzidi husema "Mungu wangu"Molemo Rafiki yangu, una uhakika na unachokisema kweli?
Hii, Malemo!Bila shaka hiki ndicho chama pekee kilichobakia na imani kwa wananchi wa Tanzania na si vinginevyo kwani kauli za Chadema na matendo yao yako sambamba. ni tofauti na jinsi ambavyo magamba wasemavyo na jinsi wanavyotenda ni tofauti kabisa, we should praise Peoplees power foreverrrrr
Kazi njema makamanda
Magamba yakifurumushwa kusini sijui yatakimbilia wapi tena..?
hamna sumu ya udini yoyote,,,,mika yote toka siasa za upinzani zimeingia nchini, cdm walikuwa wapi wasiende mtwara?
Kila siku tunaisika cdm moshi na arusha...kwanini tusiconclude kuwa ni chama cha huko?