Hata Uzini ilikuwa hivi hivi..
Natafuta comment ya Slaa hapa JF siku wawalipoenda Uzini.
Nafikiri wote mliona CDM walichoambulia kule!!
Mkuu, naona tayari umeshikwa na kihoro! Kajifiche kwenye varangati kama alivyofanya mwenzako Ghaddafi.Mkuu habari ya Jumanne tunaijadili leo Ijumaa halafu unaiita eti News Alert...Pro-Chadema JF wana vituko bana.
Tunakumbushi mlichokisema na end result yake! na mtwara itakuwa hivyo hivyo...Huna tofauti na mfa maji? Kuna mahali Slaa amehojiwa hapa? Au unaweweseka kutaja jina la Slaa?
Tunakumbushi mlichokisema na end result yake! na mtwara itakuwa hivyo hivyo...
Kwa watu wanaolewa mwenendo wa CDM na uducteta uliopo, hawawezi kukishobokea CDM.
Am happy watu wa Pwani ni waelewa na wanajua kupima mambo kabla ya kukurupukia vitu!
mimi na wewe nani anazungumza urojo? Chadema haiwezi kukubalika Mtwara kamwe!Acha kuzungumza urojo nenda kafanye kazi kumekucha.
mimi na wewe nani anazungumza urojo? Chadema haiwezi kukubalika Mtwara kamwe!
Propaganda tupu hakuna cha gumzo wala chochote, mtwara wataungaje Chama Chenye sear ya kuanzisha Jamhuri ya kaskazini ? Mtwara ni kusini watakuwaje sehemu ya jamhuri ya kaskazini?
Masaburi @ work!. Ss Mtwara tumepigika sana na Magamba. Kwa hiyo we are ready for anything the change. Long live M4c and Viva ChademaMmechemka, hii ni ngome ya CCM !!!!!! Tangu lini Mmakonde aolewe na Mchaga???
Ukweli unaumaaaaaa......
Wachaga wana ubaguzi xana!!!!! Hata marehem baba yangu pale Mikindani aliniambiaaaa..... CDM hamtaweza kukubalika milele!!!!!!
Pili huku kuna waislam tupu, na ule udini mmechemka!!!!! Niko huku Lipwidi, Mtwara Vijijin nalimaaaa!!!!
Hata Uzini ilikuwa hivi hivi..
Natafuta comment ya Slaa hapa JF siku wawalipoenda Uzini.
Nafikiri wote mliona CDM walichoambulia kule!!
Ishu za misikiti zimetoka wapi hapa? Hapa tunajadili ugumzo wa CDM Mtwara..Nasikia Mtwara nako kuna misikiti mingi sana kama Tanga na Uzini
Tunakumbushi mlichokisema na end result yake! na mtwara itakuwa hivyo hivyo...
Kwa watu wanaolewa mwenendo wa CDM na uducteta uliopo, hawawezi kukishobokea CDM.
Am happy watu wa Pwani ni waelewa na wanajua kupima mambo kabla ya kukurupukia vitu!
Ishu za misikiti zimetoka wapi hapa? Hapa tunajadili ugumzo wa CDM Mtwara..
Ukitaka tuhamie huko, twende kwenye jukwaa la dini tukaelezane!
Mkuu unafanya kazi saa ngapi?