CHADEMA yaumbuka Geita mjini

Laiti Kinana angejua kuwa maeneo uote aliyohutubia CCM haina hata m/kiti mmoja wa serikali ya mtaa asingepoteza muda wake.
 
Samahani Kiongozi,,umeandika kwa fazaha kubwa.
Ukisoma utaona kuwa andiko lako lina makosa makubwa sana ya kiuandishi..siku nyingine punguza povu, andika kwa utaratibu tu.
 
walioahidi meli ziwa victoria mpaka sasa hazijafika ni chadema au ccm ukishapata jibu ndio utajua nani anatoa ahadi hewa
 
waliohaidi meli ziwa victoria mpaka sasa hazijafika ni chadema au ccm ukishapata jibu ndio utajua nani anatoa ahadi hewa

Umekaa sehemu kuna 4G unatuma post tu hapa kisha unasema hakuna kilichofanyika, Kweli masikini akipata.
 
Mfa Maji na Chama Chake Cha Mafisadi (CCM), Haachi Kutapatapa. Hivi Wizi na Ufisadi unaofanywa na CCM Kweli una Mfano wake kwa Vyama Vya Upinzani.

Umechanganyikiwa, sio bure.
Kwa hiyo unashindanisha wezi katika wizi..
 
Chini ya Kinana na Nape; Chagadema hawafurukuti kwa kweli. Ongereni sana makomred.
 
Umekaa sehemu kuna 4G unatuma post tu hapa kisha unasema hakuna kilichofanyika, Kweli masikini akipata.
nilifikiri naongea na mtu mwelewa kumbe hamna kitu nitajie hata meli moja ambayo imepilekwziwa victoria halafu rejea ahadi za mgombea urais kupitia ccm mwaka 2010
 
Wao ndo wameshindwa kutekeleza ahadi, asilimia 99 ya ahadi za jk bado hazijatimia.
 
Samahani Kiongozi,,umeandika kwa fazaha kubwa.
Ukisoma utaona kuwa andiko lako lina makosa makubwa sana ya kiuandishi..siku nyingine punguza povu, andika kwa utaratibu tu.

lakini si umemwelewa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…