Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,569
- 284,108
Hizi tuhuma nzito sana, bil tatu! Zilitolewa lini na kwa budget ipi? Cdm msipojibu hili basi tutajua zilishapigwa juu kwa juu sawa na za viwanja kule mwanza.
Sio kosa lako ni kosa la aliyetaka kuruhusu GONGO iwe kinywaji halali..Utapata nini kuendelea kuwatetea mafisad ccm..buku saba tu zinakutoa ufahamu.
Acha ujinga..,we unayejua mwambie..,kazi ya kutunga uongo tu kama Mwenyekiti wenu.kama hujui kitu tulia mjomba , unaifahamu njama inayopangwa hapa ?
Acha ujinga..,we unayejua mwambie..,kazi ya kutunga uongo tu kama Mwenyekiti wenu.
Hapo kwenye Red nakubaliana na wewe kabisa! Na maamuzi yao yatakwenda sambamba na uelewa wao. Sina shaka kwa hilo.Msingi wa CHADEMA ni ulaghai, Hawana budi kuumbuka sasa, Wananchi wa leo wanafahamu ukweli wote.
Miaka ya kuishi kijanja janja imeisha, watanzania wanajua ukweli.
Hawana muda wa kudanganywa tena, wamechoka kudanganywa. Michezo ya kisiasa ya kutangaza kuacha kutumia garoi la KUB wakati watu wanakuona nalo mtaani, si tu yanaondoa hadhi na heshima bali yanawaonyesha watanzania kuwa hawawezi kukuamini tena kwa namna yeyote.
Kinana ni sawa na nzi mbona yy hajtaj ktk sakata la kuuza pembe za ndovu? Na hajawah kukanusha!
Mwaka tafuteni pakujificha mzee mtakutana na kimbunga balaa kinana hana mchezo kwenye kazi.Hela wazipate WAP? Ameshindwa kusema tulishindwa kutoa ruzuku ya ..... massm siyapendi bora kamchepuko kao kidogo
Siasa za bongo uongo ndiyo ishu mbowe muongo hadi kwa mke wake tundulisu ndiyo kabisa kwahiyo msishangae chadema kudanganya wenzetu wanachuo cha uongo pale ufipa mkufunzi wa uongo ni babu slaa.
Mwaka tafuteni pakujificha mzee mtakutana na kimbunga balaa kinana hana mchezo kwenye kazi.