Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,897
- 6,933
Chadema inajipanga kiasi ambacho inatisha mwaka 2015 ccm itaona manyoya tuu
Najivunia kukipenda chama cha demokrasia na maendeleo....
Kwa rehema za mwenyezi mungu awalinde viongozi wote mpaka siku ile ya kupewa nchi yetu ya ahadi(...tanzania tuitakayo..)
Tulianza na MUNGU na tutamaliza tukiwa na MUNGU wetu aliye hai sasa na hata milele!
Ngoja tuone kama kodi ya wanainchi waliojilimbikizia kama itawavusha safari hii 2015.
Zaliwa 1977
Zika 2015.
Biashara mapema, Chadema si chama cha msimu kama alivyosema Kikwete, labda kutokana na wimbi hili anasita kubadilisha kauli lakini ukweli unabadki hadi kieleweke.Utaratibu mzuri, hongeren makamanda!
wanataka kupata na idada ya wanaccm watakao kuja chadema, nimewakubali mtego mzuri pia kwa wana ccm wanaotaka kujiunga chadema 2015
Chadema ni Kati ya Chama ambacho tokea kuanzishwa kwake hakikupaparika kuweka mgombea urais mwanzoni kilitumia muda mrefu kujijenga na kurusha karata yake ya kwanza 2005 na mafanikio makubwa yakaonekana mwaka 2010 kikaporwa ushindi sasa kutokana na historia nzuri na umahiri viongozi wake hainipi shida kutambua ushindi 2015 ni dhahiri tena kwa zaidi ya wabunge 200