Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member Joined May 15, 2009 Posts 7,472 Reaction score 7,276 Mar 9, 2012 #21 ritz said: Mkuu, sidhani kama siasa za kihuni za kukwidana zina nafasi kwenye taifa letu. Click to expand... Mkuu si kila wakati diplomasia inatibu matatizo ya jamii zetu, Hata hao wazungu walionzisha ustaarabu huo wa diplomasia mara nyingi tu wameingia vitani kwa madege, mabomu, n.k...... Wakiitupa diplomasia na kufanya vita kabisa na si uhuni tu..
ritz said: Mkuu, sidhani kama siasa za kihuni za kukwidana zina nafasi kwenye taifa letu. Click to expand... Mkuu si kila wakati diplomasia inatibu matatizo ya jamii zetu, Hata hao wazungu walionzisha ustaarabu huo wa diplomasia mara nyingi tu wameingia vitani kwa madege, mabomu, n.k...... Wakiitupa diplomasia na kufanya vita kabisa na si uhuni tu..
P Precise Pangolin JF-Expert Member Joined Jan 4, 2012 Posts 13,349 Reaction score 7,447 Mar 9, 2012 #22 Ng'wana Sweke said: Ndiyo njia pekee iliyobaki mkuu...maana ga.mbaz... vyombo vya dola vinawapendeleeni sana. Click to expand... Afadhali mkuu umemjibu ritz kwasababu jibu ambalo angepata kutoka kwangu kilichokuwa kifuate ni ban kutoka mod
Ng'wana Sweke said: Ndiyo njia pekee iliyobaki mkuu...maana ga.mbaz... vyombo vya dola vinawapendeleeni sana. Click to expand... Afadhali mkuu umemjibu ritz kwasababu jibu ambalo angepata kutoka kwangu kilichokuwa kifuate ni ban kutoka mod
P PhD JF-Expert Member Joined Jul 15, 2009 Posts 4,924 Reaction score 4,595 Mar 9, 2012 #23 Ng'wana Sweke said: Huyo kamanda ni balaa...Niki recall alivyo mkwida Mama Kimario kule Igunga dah!...Long live Kamanda...long live CDM. Click to expand... alimkwida vizuri sana mama kimario akaomba msamaha na maji ya kunywa dahh
Ng'wana Sweke said: Huyo kamanda ni balaa...Niki recall alivyo mkwida Mama Kimario kule Igunga dah!...Long live Kamanda...long live CDM. Click to expand... alimkwida vizuri sana mama kimario akaomba msamaha na maji ya kunywa dahh
Bill JF-Expert Member Joined Oct 5, 2007 Posts 10,703 Reaction score 11,817 Mar 9, 2012 #24 ritz said: Mkuu, sidhani kama siasa za kihuni za kukwidana zina nafasi kwenye taifa letu. Click to expand... Taratibu zinapata nafasi kama ilivyokuwa kwa siasa za KIFISADI zilivyopata nafasi
ritz said: Mkuu, sidhani kama siasa za kihuni za kukwidana zina nafasi kwenye taifa letu. Click to expand... Taratibu zinapata nafasi kama ilivyokuwa kwa siasa za KIFISADI zilivyopata nafasi
Fredrick Sanga JF-Expert Member Joined Jan 27, 2011 Posts 3,153 Reaction score 701 Mar 9, 2012 #25 ritz said: Mkuu, sidhani kama siasa za kihuni za kukwidana zina nafasi kwenye taifa letu. Click to expand... kihuni una maana (Kigulu Chemba)?
ritz said: Mkuu, sidhani kama siasa za kihuni za kukwidana zina nafasi kwenye taifa letu. Click to expand... kihuni una maana (Kigulu Chemba)?
Ta Muganyizi R I P Joined Oct 19, 2010 Posts 5,355 Reaction score 2,741 Mar 9, 2012 #26 dubu said: weka picha mkuu. Click to expand... picha maswa