Ifikie kipindi ungozi wa chuo na serikali husika, wakae chini ili kutatua matatizo ya wanafunzi, haiwezekani migomo kila sku, kuna tatizo tena kubwa! inasikitisha sana kila siku wanafunzi wamefukuzwa chuo je tutafika? hata mkuu wa chuo kama si shinikizo basi nae achunguzwe vizuri.wanafunzi wataendelea kufukuzwa hadi lini, wakidai haki wanafukuzwa, kwa nini wabunge wakidai kuongewa posho hawafukuzwi? naomba nijibiwe au kuelimishwa, inaskitisha sana ndugu zangu