CHADEMA yatajwa kuwa Chama Kikuu cha siasa Nchini Tanzania

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
137,294
Reaction score
271,533
Hii ndio Taarifa ya Sasa inayozunguka kote Duniani, inatajwa kwamba Chama hicho, si tu ni Chama Kikuu cha Upinzani bali ni CHAMA KIKUU CHA SIASA NCHINI TANZANIA

Imeelezwa kwamba si CCM wala vyama mamluki vinavyoweza kushindana n.a. Chadema, Hilo halipo.

Taarifa Hiyo Muhimu imezungumzwa n.a. Mwanasheria Mkuu wa Chama hicho Dkt Rugemeleza Nshalla ambaye leo anatimiza miaka 30 tangu aapishwe n.a. Jaji Mkuu Francis Nyalali Kuwa Wakili wa Mahakama Kuu

FB_IMG_17659013881982380.jpg
 
View attachment 3516271
Upo sahihi. Chadema sio chama cha upinzani bali chama kikuu cha siasa Tanzania
 
Hoja ya kwamba Chadema ni chama kikuu cha siasa Tanzania, si kweli.

Ila hoja ya Chadema kama chama kikuu cha upinzani Tanzania, kweli.
 
Chama kikuu Cha siasa ni ccm ila chama kikuu Tanzania ni chadema. Na chadema ndio kina impact kitaifa ila ccm inategemea Dole bila Dole ccm haipo.
 
Back
Top Bottom