.Tunauhakikishia umma wa sombetini na Arusha na Tanzania kwa ujumla kuwa vikosi vyetu vya B 52,Qx Mapambano,Mandela scorpion,Guerila 40,El Che889,Lenin 34PH,na Mama Haki,vimekamilisha maandalizi kabambe kwa ajili ya Sombetini ili kulinda ushindi wetu ambao ni wa 95%+.