Nambari wani eeeeh eheeeeeee nambari wani ni CCM, naamini enzi za utoto wako ulishaga wahi imba haka kawimbo! Je jiulize ni miaka mingapi tokea hujazaliwa huu wimbo ulishakuwepo na hadi hivi keo lijibaba umekuwa mkubwa na midevu kama mbuzi dume imekutoka lkn CCM iko pale pale! Hahaha kuna ubishi tena hapo? Eeeenh?!