Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 137,687
- 272,554
Naiona saa ya ukombozi inakaribia.
amemaliza kazi ya kupigana bungeni?
ni hivi ; si tu kwamba tunataka kutwaa madaraka october bali tunataka kufuta kabisa hii kitu inaitwa ccm nchi hii .Hakika hii ndiyo Chadema tuitakayo.Dodoma imeamka!
Hongereni makamanda!
Ukubwa wa pua sio uwingi wa makamasi, wewe usidhani kujaa kwa watu ndo kupata uongozi ama wadhifa fulani mahali fulani, wengi wanakuja kuwachots nyota na mkimaliza ujinga wenu hao wanasepa zao.
Waliopo hapo dodoma ni waganga njaa kama wewe hawajui lolote ni vibendera fata upepo kama ulivyo wewe mbumbumbu
Kaa udode chama teule hiko kama inakuuma jinyonge sasa! Tuachie ccm yetu kwa raha zetu, hapati kitu mtu hapa mwanzo mwisho!
Hahahaha! Magamba bhana! Unaweza pia kusema gharama mlizotumia kuwasomba hao watu kwa malori kutoka mikoa mbali mbali?
Basi na wewe nendaga kwa waganga ukagagnge il Chadomo kipite afu uone kama kitapita!
Hii ndio chadema KwanzaMembe, Sitta, Nape watajuta kuidhoofisha CCM kiasi hiki ... hakuna namna tena UKAWA wameshachukua nchi ...