Chademakwanza
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 6,346
- 1,872
Chadema ni Mpango wa Mungu tumeanza na Mungu tupo na Mungu na tutamaliza na Mungu
mkuu ccm walidhani kukimibia na mabox ndo ushindi kumbe hawajui cdm inapigana hadi tone la mwishoSafi sana, vita inasonga mbele!!
nakupongeza kwa kuleta hiyo taarifa maana hata mimi nilipatwa na kigugumizi kuhusiana na hiyo hukumu. ila nina swali unaweza kutupia nakala ya matokeo halisi yalivyokuwa.
Mahakami jpili, hii sio changa la machi kweli?
kwa sasa na nina majukumu ya kikazi mkuu kwa wiki hii nitakua bize sana naogopa ata kuahidi....ila nikipata nitafungua thread yake ili uone
Inawezekana ikawa kama ilivyotokea hapo juu kwenye kolezoMahakami jpili, hii sio changa la machi kweli?