Habari zilizothibitishwa ni kwamba katika manaspaa ya Moshi CHADEMA wamefanikiwa kutwaa vitii 18 vya udiwani dhidi ya viti 3 vya CCM. Hivyo kuwapa nafasi kuunda halmashauri ya manispaa.
katika matokeo ya Vunjo mrema lyatonga Augustine anaongoza na pia jiombo la Rombo Selasini wa Chadema anaongoza kwa margin ndogo sana
Jamani hizi habari ni tamu sana,waliolala hawapati hii fleva-watapata makombo kesho!
CHADEMA HOYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!
sasa ule ufisadi wa moshi mjini, wa uuzaji wa viwanja vya wazi UTAKOMA, COZ HALIMASHAURI NI YA CHADEMA SASA
WERAWERAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA