Chadema yashinda Halmashauri ya Moshi Mjini


Status
Not open for further replies.
W

wihanzi

Member
Joined
Feb 10, 2009
Messages
62
Likes
0
Points
13
W

wihanzi

Member
Joined Feb 10, 2009
62 0 13
Habari zilizothibitishwa ni kwamba katika manaspaa ya Moshi CHADEMA wamefanikiwa kutwaa vitii 18 vya udiwani dhidi ya viti 3 vya CCM. Hivyo kuwapa nafasi kuunda halmashauri ya manispaa.

katika matokeo ya Vunjo mrema lyatonga Augustine anaongoza na pia jiombo la Rombo Selasini wa Chadema anaongoza kwa margin ndogo sana

SORCE: Report ya star TV
 
M

Mkulima

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2007
Messages
698
Likes
119
Points
60
M

Mkulima

JF-Expert Member
Joined Feb 4, 2007
698 119 60
Hongera sana Mrema, nakuombea ushinde!
 
Ally Msangi

Ally Msangi

Verified Member
Joined
Jun 29, 2010
Messages
594
Likes
17
Points
35
Ally Msangi

Ally Msangi

Verified Member
Joined Jun 29, 2010
594 17 35
endelea kutupasha habari
 
Lady N

Lady N

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2009
Messages
1,919
Likes
13
Points
135
Lady N

Lady N

JF-Expert Member
Joined Nov 1, 2009
1,919 13 135
leo news zinanifurahisha
 
Gwamahala

Gwamahala

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2009
Messages
3,936
Likes
1,413
Points
280
Gwamahala

Gwamahala

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2009
3,936 1,413 280
Jamani hizi habari ni tamu sana,waliolala hawapati hii fleva-watapata makombo kesho!
CHADEMA HOYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!
 
K

Kibento

Member
Joined
Oct 23, 2010
Messages
40
Likes
0
Points
0
K

Kibento

Member
Joined Oct 23, 2010
40 0 0
nami nadhani ni afadhali wangechukua cuf kuliko ccm wabebe . .
 
LOGARITHM

LOGARITHM

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2010
Messages
752
Likes
146
Points
60
LOGARITHM

LOGARITHM

JF-Expert Member
Joined May 5, 2010
752 146 60
mimi simfagilii Mrema, ila kama jimbo linaenda kwa wapinzani ni afadhali kuliko kurudi CCM

KANYAGIO na KIBENTO mmenisemea, asanteni sana. To hell with MAFISADI.
 
PayGod

PayGod

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2008
Messages
1,260
Likes
6
Points
135
PayGod

PayGod

JF-Expert Member
Joined Mar 4, 2008
1,260 6 135
sasa ule ufisadi wa moshi mjini, wa uuzaji wa viwanja vya wazi UTAKOMA, COZ HALIMASHAURI NI YA CHADEMA SASA
WERAWERAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
 
tzjamani

tzjamani

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2010
Messages
997
Likes
4
Points
0
tzjamani

tzjamani

JF-Expert Member
Joined Oct 9, 2010
997 4 0
Mjulisheni Ana Kilango haya matokeo ya kwa ndesa pesa
 
drphone

drphone

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2009
Messages
3,561
Likes
94
Points
145
drphone

drphone

JF-Expert Member
Joined Sep 29, 2009
3,561 94 145
ataakiuchuna atayapata ata kimya kimya atayasoma
 
M

Mkorintho

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2009
Messages
357
Likes
8
Points
35
M

Mkorintho

JF-Expert Member
Joined Feb 17, 2009
357 8 35
Viti vya udiwani 18 kwa 3! Heshima lazima irudi mwaka huu, safiiii
 
K

kichondi

New Member
Joined
Oct 31, 2010
Messages
1
Likes
0
Points
0
K

kichondi

New Member
Joined Oct 31, 2010
1 0 0
Sasa upele umepata mkunaji......... Moshi mjini maendeleo kwenda kama Rocket, Upinzani juuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!
 
The Son of Man

The Son of Man

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2010
Messages
12,556
Likes
2,369
Points
280
The Son of Man

The Son of Man

JF-Expert Member
Joined Feb 9, 2010
12,556 2,369 280
Kwa moshi its obvious!
 
Status
Not open for further replies.

Forum statistics

Threads 1,252,259
Members 482,061
Posts 29,801,906