Elections 2010 Chadema yashinda Halmashauri ya Moshi Mjini

Status
Not open for further replies.

wihanzi

Member
Feb 10, 2009
62
3
Habari zilizothibitishwa ni kwamba katika manaspaa ya Moshi CHADEMA wamefanikiwa kutwaa vitii 18 vya udiwani dhidi ya viti 3 vya CCM. Hivyo kuwapa nafasi kuunda halmashauri ya manispaa.

katika matokeo ya Vunjo mrema lyatonga Augustine anaongoza na pia jiombo la Rombo Selasini wa Chadema anaongoza kwa margin ndogo sana

SORCE: Report ya star TV
 
Jamani hizi habari ni tamu sana,waliolala hawapati hii fleva-watapata makombo kesho!
CHADEMA HOYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!
 
sasa ule ufisadi wa moshi mjini, wa uuzaji wa viwanja vya wazi UTAKOMA, COZ HALIMASHAURI NI YA CHADEMA SASA
WERAWERAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
 
Sasa upele umepata mkunaji......... Moshi mjini maendeleo kwenda kama Rocket, Upinzani juuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom