Chadema yapewa msada na christian democratic union.

Chadema yapewa msada na christian democratic union.

Status
Not open for further replies.
kupewa msaada na msimamo wa chama, mwenyekiti au raisi wa nchi ni vitu viwili tofauti. Kina ghadafi, sadam, Noriega, Mugabe, osama na wengine wengi walisaidia na mataifa dhalimu ya magharibi either kijeshi, kielimu, kiuchumi na kadhalika lakini mwisho wa siku walisimama imara kwa kukataa kuburuzwa na kutetea nchi zao hadi umauti. so kwa kuhitimisha ni kuwa wazungu walikuja kuchukua/wanachukua utajiri kwetu kwa njia za hila na halali kwa hiyo na sisi akitokea mjanja kwenda kuchukua kwao kwa manufaa ya nhi yetu si mbaya...usijadili matokeo kabla kazi haijaanza coz the end will justfy the means
 
Uamsho kilivokuwa kinasemwa kinapeea misaada kutoka Oman, watu walifoka sana, mada tele zikawekwa, majungu kila kona, leo imetajwa Chadema imekuwa haina tatizo sio? Mkuki kwa ngurue kwa binaadam mchungu au anye kuku akinya bata kahara!

nina shaka na uwezo wako wa kupambanua mambo... UAMSHO NI CHAMA CHA KISIASA? MGOMBEA WKE NI NANI? CDM KIMECHOMA MISIKITI MINGAPI MPAKA DK HII?..:A S thumbs_down:
 
Uamsho kilivokuwa kinasemwa kinapeea misaada kutoka Oman, watu walifoka sana, mada tele zikawekwa, majungu kila kona, leo imetajwa Chadema imekuwa haina tatizo sio? Mkuki kwa ngurue kwa binaadam mchungu au anye kuku akinya bata kahara!
Kwani CHADEMA wanachoma misikiti?
 
chama kinachotawala nchini ujerumani CDU ambacho msingi wake mkubwa ni kuwaunganisha wakristo Duniani, ili kupambana na uislam, kimetoa msaada wa fedha na mafunzo kwa vijana wa chadema 50 ambao waliondoka juzi kuelekea nchini humo.

1. Tunaomba source. Kabla ya kuleta source hatuna haja ya kujadili.

2. Namna ulivyoileta hii mada umeweka mchocheo wa mjadala wa kidini, kwa kusema lengo la CDU ni kuunganisha wakristo duniani, kitu ambacho ni upotoshaji.

CDU ilikuja baada ya kuona jinsi ambavyo tawala zisizozingatia maadili kama za akina Hitler zilivyoleta maangamizi duniani. Wamejikita katika kuzingatia haki za binadamu, kupinga sera za utoaji mimba n.k. Kwa kifupi hawa ndio wale ambao ni conservatives.

Their major characteristics are:

  • In common with conservatism, traditional moral values (on marriage, abortion, etc.), opposition to secularization, a view of the evolutionary (as opposed to revolutionary) development of society, an emphasis on law and order, and a rejection of communism.
  • In contrast to conservatism, open to change (for example, in the structure of society) and not necessarily supportive of the social status quo.
  • In common with liberalism, an emphasis on human rights and individual initiative.
  • In contrast to liberalism, a rejection of secularism, and an emphasis on the fact that the individual is part of a community and has duties towards it.
  • In common with socialism, an emphasis on the community, social solidarity, support for a welfare state, and support for some regulation of market forces.
  • In contrast to socialism, most European Christian Democrats support a market economy and do not adhere to the doctrine of class struggle.
 
Mkuu, ukistaajabu ya Musa utaona ya Filauni. Acha tusubiri ccm nyingne kwa jina la Chadema, madarakani 2015. Lakini sisi kama vijana, tutawajibika kwa hilo, kabla kizazi cha watoto wetu kupita. Baraka zenu kama wazee wetu na ziwe juu ya kuwafundisha ukweli wa mambo wale wasioona. Adui yetu sio ccm tu, ni ccm na vyama vyote vya siasa. Ila kwa sasa ni vigumu mno kueleweka na vijana, watakuita kila aina ya jina baya, ukiwafunulia ukweli wa mambo. TUPO TUNAONA, TUTAONA. HATUTOACHA BORA LIENDE, FURAHA YETU NI USAWA KWA WATANZANIA WOTE, USIPOKUWEPO HATA DAMU YETU NI UPUUZI! Mfumo mbovu wa siasa, ni mama wa maovu yote katika taifa. Zao la mfumo mbovu wa siasa, ni uozo. Demokrasia ni mfumo mbovu wa siasa, na kila kiongozi anayeamini humo, na kutokea humo, ni mbovu. HATUFAI!
Mungu wetu anaita!

Tatizo hujui tatizo ni nini....

Kama adui yako wewe ni vyama vyote vya siasa unataka mfumo gani wa kiutawala kuleta huo usawa kwa watanzania utakujaje???
Je, unataka sheria za kidini au kimila ndo zituongoze???
 
hizi threads za kichochezichochochezi Mods hebu muwe mnazichinjia baharini, maana tumechoka kuckia haya maneno ya kwenye vijiwe vya kahawa kila cku.. tujadili mambo ya mcng namna ya kutatua matatizo ya watz
 
chama kinachotawala nchini ujerumani CDU ambacho msingi wake mkubwa ni kuwaunganisha wakristo Duniani, ili kupambana na uislam, kimetoa msaada wa fedha na mafunzo kwa vijana wa chadema 50 ambao waliondoka juzi kuelekea nchini humo.

Ni wale wale, eti "VAT" maana yake "Vatican"!!!!! Kama hii nayo ni "Great Thinking" basi bongo bado tuna safari ndefu saana!!!
 
chama kinachotawala nchini ujerumani CDU ambacho msingi wake mkubwa ni kuwaunganisha wakristo Duniani, ili kupambana na uislam, kimetoa msaada wa fedha na mafunzo kwa vijana wa chadema 50 ambao waliondoka juzi kuelekea nchini humo.
Kama kuna chama cha kupinga Uislam hakiwezi kutokea ujerumani
1. Wajerumani na waislam (othoman empire au turkey) walisaidiana WW1 chanzo cha vita ilikuwa vurugu za waislam huko maeneo ya Balkan ( Kosovo Albania Serbia Croatia Macedonia Bosnia nk) kumbuka vurugu za kiislam hazikomi hadi leo maeneo hayo hayajatulia.
2.wajerumani na waislam walishirikiana tena wakati wa WW2, mufti wa Jerusalem akiitwa hussein pamoja na hitler waliasisi mpango wa kuwaangamiza wayahudi, ndani ya majeshi ya hitler kilikuwepo kikosi cha mujaheddin wa kiislam wa Balkan kilichoanzishwa na kufadhiliwa na mufti wa Jerusalem. Miezi michache iliyopita serkali ya Israel imetaifisha nyumba alimokuwa akiishi huyo mufti anyway hakuijenga bali alijitwalia wakati ule ambapo waislam waliiteka na kuitawala Jerusalem.
3. Baadhi ya maafisa wa majeshi ya hitler wakiogopa kushtakiwa walijificha kwenye nchi za kiislam wakawa maraia wa huko na waislam hadi leo
4. Ujerumani ina uhusiano wa kihistoria na uislam, Kuna waturkey na waislam wengi sana waliohamia huko tangu WW1 na wana influence kubwa, hakuna chama chochote cha kijerumani au serkali kitathubutu kuhujumu maslahi ya waislam popote duniani
5. Wajerumani asilia wanaongoza kwa mataifa ya ulaya kuwa waislam wako wengi tu Pakistan na afighanistan hivi leo kwenye jihad ya mtume, baadhi ya mipango ya kuishambulia America 9/11 ilfanyika kwenye msikiti wa mjini hamberg. Mohammed Atta kiongozi wa mashambulio alikuwepo hamberg kabla ya kuelekea marekani kujihad.
Hitimisho: kuna mambo mengi sana ambayo dunia haitaki yajulikane juu ya waislam na Uislam, kisiasa ni kwa kuwa wana milki raslimali muhimu ya mafuta na wameunganisha nguvu zao kupitia OIC; kiimani wana nguvu za giza ambazo mkuu wake ndo mtawala wa hii dunia
 
katika hao vijana 50 waliopewa mafunzo hakuna muislamu?
upuuzi mtupu kwani ujerumani inakaliwa na wakristo pekee?
waislamu bwana kila skiu chokochoko mda wa kujiletea maendeleo hakuna
 
Well said mkuu..........
Ewe Mwenzetu MkiGoma,

Kwa kweli ninakushukuru mno kwa kutuletea taarifa hii njema ya CHAMA CHETU CHA WALALAHOI kubarikiwa japo ka-msaada toka huko ulikokutaja weye.

Kimsingi, kwa kuwa CHADEMA ndio kama hivo tunakijenga ki-shida shida hivo hivo, si sawa na vile VYAMA MATAWI YA CCM nchini, kwa kweli bado tunaomba sana misaada iongezeke kwa faida ya walalahoi wa nchi hii kupata utetezi uliotukuka bila ubaguzi wa rangi wala wa kidini.

Hivyo, huko unakotembea wewe mwenzetu chonde kawaambie nao Budhist Democratic Union, kama wapo, nao wakatuletee misaada mingine maana ndani ya nchi hii kila kitu CCM kishatafuna na MAFISADI wake mahiri ile mbaya.

Mwenzetu, endapo utakutana hata na Hinduist Democratic Union popote pale walipo nao kawaambie kwamba CHADEMA chama cha Walalahoi wa nchi hii tunahitaji misaada yao kujenga wigo mpana na imara wa ki-demokrasia kwa wote ndani ya nchi hii.

Asante sana kwa kutuletea hiyo taarifa murua wa misaada kwetu; nilikua sijaipata bado.
 
chama kinachotawala nchini ujerumani CDU ambacho msingi wake mkubwa ni kuwaunganisha wakristo Duniani, ili kupambana na uislam, kimetoa msaada wa fedha na mafunzo kwa vijana wa chadema 50 ambao waliondoka juzi kuelekea nchini humo.

Huu udini unatoka wapi?
 
"Kishida shida" huku Mwenyekiti anaenda mkutanoni na VX 8 sita!

Mtu mmoja anaenda na gari 6 mkutanoni, bila shaka hata chooni atakuwa anaenda na angalau mbili. Enhe, hebu nipe mchapo, anakaaje ndani ya gari sita kwa pamoja?

Akili nzuri ukiwa nazo.

Na wewe uliyeleta mada hii ya kipuuzi, ulishasoma katiba ya CDU ukaona imeandikwa kuwa lengo lake ni kuwaunganisha Wakristo wapinge uislamu? Kwa akili za namna hii mtaendelea kufeli hadi sayansi kimu
 
CHADEMA sasa mnakomba kila aina ya misaada pasipo kujali itikadi ya mtoaji. Conservative nao misaada yao ikiambatana na masharti ya kushabikia ndoa za mashoga MNAKULA MISAADA YAO. Hiki chama cha CDM hakina nia nzuri na watanzania, msimamo wenu ni kuuza nchi yetu kwa gharama yeyote

Nchi iuzwe tena mara ya pili? mbona ilikwishauzwa na chama cha magamba?
 
Udini gain its momentum day by day!
Let's hope that it will never reach its climax.. Amen..

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Partners, Tanzania Office, Konrad-Adenauer-Stiftung

Partners

CHADEMA

kas_2016-1495-2-30_110.jpg
CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Party for Democracy and Progress) is the largest opposition party in Tanzania. After the national elections in October 2010, CHADEMA is represented in the Tanzanian Parliament (Bunge) by 48 MPs. It is also the official opposition in the Parliament. KAS Tanzania and CHADEMA have been working together since 2004. This technical cooperation includes capacity building for local leaders, programmatic support and structural coordination. Similar to CHADEMA the ruling Chama Cha Mapinduzi (CCM - Revolutionary Party) as well as the other opposition party Civic United Front (CUF) enjoy technical support from other German political foundations operating in Tanzania. Like the German party - Christian Democratic Union (CDU) - CHADEMA is also a member of the International Democratic Union (IDU). In order to foster the international democratic dialogue between parties, KAS Tanzania furthers the exchange of experience and expertise between CDU and CHADEMA. This agenda is only carried out and implemented in form of joint workshops and seminars, but CHADEMA does not receive any kind of financial support from KAS Tanzania.
To the website…

Civic Education Teachers' Association (CETA)

kas_2013-1495-2-30_110.gif
The Civic Education Teachers' Association (CETA) is a Tanzanian NGO, which was founded by former Civic Education teachers. CETA's intention is to bring together teachers and to establish a forum for accademic exchange. In order to improve the teaching and the general knowledge about the subject, CETA regulary publishes journals, which influence the local and national political debates in Tanzania. The cooperation between KAS and CETA focuses on the provision and improvement of civic background knowledge, enabling young Tanzanians to take part at the political process

Tanzania Development Initiative Programme (TADIP)

kas_1924-1495-2-30_110.jpg
The Tanzania Development Initiative Programme (TADIP) is a national Thinktank, whose agenda it is to improve sustainable development and good governance. Their programme aims at the establishment of effective democratic structures and a multi-party sytem. TADIP and KAS cooperate with other civil organisations in order to implement their common agenda.

Christian Professionals of Tanzania (CPT)

kas_1926-1495-2-30_110.jpg
The Christian Professionals of Tanzania (CPT) is a catholic NGO, organised and active on the local and national level. Their main focus lies on the political and socio-economic dialogue. CPT and KAS have been cooperating for many years already with remarkable success.

Association of Quran Teachers in Tanzania (JUWAQUTA)

kas_989-1495-2-30_110.jpg
The Association of Quran Teachers in Tanzania (JUWAQUTA) is the umbrella association of Muslim religion teachers in Tanzania. The organisation's focus lies on the education and support of Quran teachers. The cooperation between JUWAQUTA and KAS includes diverse realms of the relationship between religion and politics. It intends to improve and expand the supporting role of religious organisations in Tanzania's democracy. The Association of Quran Teachers is one of KAS' closest partners concerning inter-religious dialogues in Tanzania.

Interreligious Council for Peace Tanzania (IRCPT)

kas_1927-1495-2-30_110.jpg
The Interreligious Council for Peace Tanzania (IRCPT) is the largest multi-religious organisation in Tansania. It was founded in 2000 in order to develop a common ethical understanding accross all religions. The Council's central aim is to further the inter-religious dialouge in order to foster the peaceful togetherness and tolerance among the different religions. The cooperation between IRCPT and KAS lies within the role of religious organisation in the process of democratic development and good governance.
 
Thanks Mkuu Kibanga!
This is really "Great Thinking" proper to this Platform!!!
 
Tatizo hujui tatizo ni nini....

Kama adui yako wewe ni vyama vyote vya siasa unataka mfumo gani wa kiutawala kuleta huo usawa kwa watanzania utakujaje???
Je, unataka sheria za kidini au kimila ndo zituongoze???

Nahisi wewe ndio utakuwa hujui tatizo ni nini. Usitumie hisia zako, ila mantiki.
Nachoamini, uwepo wa vyama ni kutokana na mfumo mchafu wa demokrasia, uliopandikizwa kwetu na watu wachafu na wanyonyaji "mabepari", kwa hila zao chafu kwa rasilimali zetu. Mfumo mbovu wa siasa, ndio mama wa uovu katika mataifa yetu. Demokrasia ni mfumo huo mbovu, hivyo hata wanaoiamini ni wabovu. UBUNIFU HAUJAFIKA MWISHO, UKIDHANI KUWA HATUWEZI KUWA NA MFUMO WETU WA SIASA TOFAUTI NA DEMOKRASIA, NI KUJITUKANA MWENYEWE.
Mungu wetu anaita.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom