Uwezo Tunao
JF-Expert Member
- Nov 14, 2010
- 6,942
- 1,200
kumbe huyu anaejiita philanderer ndio mwita25? duh, asante mkuu kwa information,,,Kwa hiyo kitu gani hujaelewa, tunakujua wewe ni mzee wa kidhungu mbona siku hizi hutumii Mwita25?
Nyambafu,kaa kimya,alichokosea nini na ulichopatia wewe kitu gani? Ujumbe umefika wewe unaleta ujuaji wa kinyaninyani.Magwanda kweli vilaza hata wa lugha, hiyo heading ilitakiwa iwe ' Zitto on his way to Igunga'
Magamba ndo hakuna hata mmoja mwenye akiliZitto na Mnyika ndio watu pekee wenye akili Chadema nzima!
Wengine wote kuanzia katibu wao VILAZA
Magwanda kweli vilaza hata wa lugha, hiyo heading ilitakiwa iwe ' Zitto on his way to Igunga'
Hamtaki hata kusifiwa..Magamba ndo hakuna hata mmoja mwenye akili
Zitto na Mnyika ndio watu pekee wenye akili Chadema nzima!
Wengine wote kuanzia katibu wao VILAZA
Dogo wa Tunduma yuko songea uchaguzi mdogo wa diwani anasimamia kule
Magwanda kweli vilaza hata wa lugha, hiyo heading ilitakiwa iwe ' Zitto on his way to Igunga'
na wao wanajipanga kupeleka ZANA za maangamizi yaani - Nape, Olesendeka, Sitta, Mama Kilango, January Makamba na Mwakyembe - ha ha ha haHabari kutoka vyanzo vya kuaminika zinasema mara baada ya kugundua kuendelea kudhoofika kwa CCM huko igunga CHADEMA imeamua kupeleka kuanzia leo,Jumatano kikosi maalum cha kampeni.Jeshi hili litaongozwa na ZITTO KABWE,GODBLESS LEMA,JOHN MNYIKA NA HALIMA MDEE.Wakuu hapa magamba kwisha kazi!! SOURCE:-MWANAHALISI Sept 21
Jamani shibuda anawezakuwa kabadilika na aende pia
Hili jukwaa sasa limekuwa kama kanisa la kilokole la chadema,waumini wanapeana moyo kwa vitu ambavyo ni impossible kutokea! Utakuta muuza maji rejareja anaandika ombi la gari aina ya benz by the end of the year! Chadema wangekuwa na nguvu kama hizo wanazotaka watu waamini wangeshamfukuza shibuda zamani,wanashindwa!!!why? Slaa anaogopa posho yake ya mil.7 kwa mwezi itapungua!! TO HELL WITH CHADEMA, CHAMA CHA WAHUNI,WAVUTA MISUBA AND WEVI WA WAKE ZA WATU