Jamani shibuda anawezakuwa kabadilika naye aende pia
Mpaka uongozi wa kijiji utabadilika sasa. Moto chini
Labda huelewi namna vita vinavyopiganwa,MAJESHI YA ARDHINI yanatumika kukamata eneo ambalo MAJESHI YA ANGA yameliDISABLE.mkuu sijui ni uelewa wako mdogo? hata sikuelewi. wewe umesema ccm wameanza kudhoofika, halafu tena chadema wanaongeza majeshi? ya nini? wakati adui husika yupo dhaifu? Rephrase it to clarify. Other wise poor thinker.
Habari kutoka vyanzo vya kuaminika zinasema mara baada ya kugundua kuendelea kudhoofika kwa CCM huko igunga CHADEMA imeamua kupeleka kuanzia leo,Jumatano kikosi maalum cha kampeni.Jeshi hili litaongozwa na ZITTO KABWE,GODBLESS LEMA,JOHN MNYIKA NA HALIMA MDEE.Wakuu hapa magamba kwisha kazi!! SOURCE:-MWANAHALISI Sept 21

Wivu wa kike huu!!!mkuu sijui ni uelewa wako mdogo? hata sikuelewi. wewe umesema ccm wameanza kudhoofika, halafu tena chadema wanaongeza majeshi? ya nini? wakati adui husika yupo dhaifu? Rephrase it to clarify. Other wise poor thinker.
Itabidi CCM walete jeshi la dhararura liongozwe na Mh.prof. Majimarefu, Mama Rwakatare pamoja na Nape wakapambane na jeshi hili la CDM alafu tusubirie matokeo.hapo pazuri, wote wanakubalika
Habari kutoka vyanzo vya kuaminika zinasema mara baada ya kugundua kuendelea kudhoofika kwa CCM huko igunga CHADEMA imeamua kupeleka kuanzia leo,Jumatano kikosi maalum cha kampeni.Jeshi hili litaongozwa na ZITTO KABWE,GODBLESS LEMA,JOHN MNYIKA NA HALIMA MDEE.Wakuu hapa magamba kwisha kazi!! SOURCE:-MWANAHALISI Sept 21
hahahahaaaa.....!!mia!