assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,909
- 4,057
BRING BACK OUR MONEY acheni kutugawa attention zetu, Fulani anunuliwa na nani, Mutharika asema ziwa Nyasa liko kwenye bustani yake...... (Tusi)
mkusanyiko wa chagadema na waliberali inabidi kuwa roho ya paka kuukubali.
TAARIFA TOKA GEITA NI kuwa genge la UKAWA wameshindwa kuelewana kugawana mitaa ivo kuweka wagombea mitaa yote
KIBAYA ZAIDI kunawenyeviti wawali wa CUF ili wajitoe mmoja ni RAMADHANI HAMISI WA KATA YA NYAMALOBE Ambae amerejesha fomu za kugombea ujumbe kupitia CHADEMA wakati alisharudisha fomu za kugombea uenyekiti kupitia CUF. BD KITENGO CHA INTELIJISIA AT WORK
Kwa kuwa umeiweka kama tetesi uwezekano ni mkubwa sana kwamba hii habari imepikwaTAARIFA TOKA GEITA NI kuwa genge la UKAWA wameshindwa kuelewana kugawana mitaa ivo kuweka wagombea mitaa yote
KIBAYA ZAIDI kunawenyeviti wawali wa CUF ili wajitoe mmoja ni RAMADHANI HAMISI WA KATA YA NYAMALOBE Ambae amerejesha fomu za kugombea ujumbe kupitia CHADEMA wakati alisharudisha fomu za kugombea uenyekiti kupitia CUF. BD KITENGO CHA INTELIJISIA AT WORK
TAARIFA TOKA GEITA NI kuwa genge la UKAWA wameshindwa kuelewana kugawana mitaa ivo kuweka wagombea mitaa yote
KIBAYA ZAIDI kunawenyeviti wawili wa CUF wamepenyezewa noti ili wajitoe mmoja ni RAMADHANI HAMISI WA KATA YA NYAMALOMBE Ambae amerejesha fomu za kugombea ujumbe kupitia CHADEMA wakati alisharudisha fomu za kugombea uenyekiti kupitia CUF. MWINGINE NI BWN AYUBU. BD INTELIJISIA AT WORK.
Geita is my home town,hakuna kata inaitwa NYAMLOBE
TAARIFA TOKA GEITA NI kuwa genge la UKAWA wameshindwa kuelewana kugawana mitaa ivo kuweka wagombea mitaa yote
KIBAYA ZAIDI kunawenyeviti wawili wa CUF wamepenyezewa noti ili wajitoe mmoja ni RAMADHANI HAMISI WA KATA YA NYAMALOMBE Ambae amerejesha fomu za kugombea ujumbe kupitia CHADEMA wakati alisharudisha fomu za kugombea uenyekiti kupitia CUF. MWINGINE NI BWN AYUBU. BD INTELIJISIA AT WORK.
chagadema ni janga
mkusanyiko wa chagadema na waliberali inabidi kuwa roho ya paka kuukubali.
Pole sana kwa Thread zako zakitoto kama ile michezo mnayocheza ya Escrow ambayo inawajambia sasa mpaka mnakimbizana Dom, ukawa ni mungano wa vyama vilivyokubaliana kwahiyo lumumba kuzungumzia mambo ya ukawa ni uzandiki na kuchanganyikiwa kama kuku aliyekosa mahali pakutagia yai hakuna aliye nunuliwa niko
kwenye mawasiliano kwenye mkoa huo pole sana kwa porojo zenu zilizochuja
Wewe ni wa kupuuzwa tu huna jipya hapa. Hizo propaganda zako hazitaweza kitu. Wananchi tuko imara sana. Bring back our Escrow monies, you FISADIS! Huu upuuzi hatutaki kuusikia. Nilishakwambia Pilipili usiyoila yakuwashiani? Acheni propaganda hizi za mfa maji