Ntuzu.
Mbona umekuwa mnafiki sana mimi hauwezi kunidanganya nakujua kuwa wewe ni mfuasi wa Lema na Chadema ukiwa muongo jaribu kuwa na kumbukumbu, ngoja ni dadavue kiduchu bayana zako.... hapa ulianza kujitoa ufahamu.
Hapa ukaanza kuonyesha rangi yako halisi unaaza kuwashambilia CCM.
Hapa unaaza kukusifia chama chako Chadema.
Hapa chini jisome...teh teh teh huyu ndiyo
Ntuzu anayesema hana chama.
Hapa unawapa taarifa Chadema wenzako.
Huyu ndiyo
Ntuzu hana chama teh teh teh.
Hapa unamsifia Lema ndiyo maana mwanzo nilikuuliza wewe ni mfuasi wa Lema ukajibi kihuni.
Hapa unaendelea kumsifia Lema ili mkono uende kinywani.
Ngoja niishie hapa...
wabara CHAMVIGA Bill Cosby gombesugu.
:violin: