CHADEMA yamkoroga JK

CHADEMA yamkoroga JK

Ndugu a.k.a. Muishimiwa jadili hoja na siyo gazeti! Kama auna majibu kama wakuu wako bora upite tu!
Magamba yamezoea kufunika kombe ...wapite, hili litawatafuna sana-hasa mtakapo kuwa Wapinzani 2015!

- Habari za Tanzania Daima, yaani tawi la propaganda la Chadema, lingekwua gazeti lingine kweli!!, Mkurugenzi wa gazeti mke wa MWenyekiti wa Chadema, ulitegemea nini kutoka hilo gazeti? ha! ha1 ha!

Le Mutuz!!
 
Kuhusu majaji wa 'kichina' ni kweli au sio kweli? Hilo ndo la msingi hapa.

Mambo ya utendaji au umiliki wa tanzania daima fungulia uzi wake. Usituchanganyie habari mkuu.
 
Huyu jamaa Le Mutuz inawezekana kabisa hayuko sawa kichwani

You are right mkuu. I have never seen such a numb head before. I advised him to train his brain think straight, but he is not listening. Hata wanyama kama mbwa wakiwa trained wanaimprove brain cognitive value zao. Huyu mtu nahisi IQ ya Dolphin iko juu ya yakwake.
 
ukiona yeyote ana tetea ujinga juu ya ccm au nikada wa ccm under 45yrs ujue ,1 ameridhi kwa baba au mama yake ambaye sasa hajiwezi, 2. Ameshaona maslah ya kifisadi sasa ananyemelea 3 uwezo wake wakufikiri 0.000099% 4 anatatizo la akili za kujiongeza.mf huyu mtu mwamwita Le mutuz kurith ujinga nikubaya sana.
 
- Kwa hiyo una maana gazeti la Tanzania Daima lilikoandika hizi nonsense unasema sio la Chadema? au?

Le Mutuz!
 
atakoma ww unafikiri ikulu ni seehmemu ya kwenda kucheza karata?
 
Kakke - Habari za Tanzania Daima, yaani tawi la propaganda la Chadema, lingekwua gazeti lingine kweli!!, Mkurugenzi wa gazeti mke wa MWenyekiti wa Chadema, ulitegemea nini kutoka hilo gazeti? ha! ha1 ha!

Le Mutuz!!
vipi kama lingekuwa Uhuru, Mzalendo.,Daily News.,TBC one? Habari leo najua hizo ungeziamini!
 
Back
Top Bottom