CHADEMA yameguka vipande viwili

Dr slaa akupumzike. Pia acheni kuandika uongo wa ivo. Jie ndo wasemaji wa CDM?
Mbona hamsemi ccm ina makundi matano ?
Matapeli,
Wazushi
Wachochea vurugu
Wezi
Wavujaji wa pesa za uma?

Jitambue wewe unajiandikia kama umekanyaga moto
 
Dr slaa akupumzike. Pia acheni kuandika uongo wa ivo. Jie ndo wasemaji wa CDM?
Mbona hamsemi ccm ina makundi matano ?
Matapeli,
Wazushi
Wachochea vurugu
Wezi
Wavujaji wa pesa za uma?

Jitambue wewe unajiandikia kama umekanyaga moto

Umekurupuka sana wewe
 
kuna waNACHAMA WA CHADEMA HAKUNA WAFUASI WA SLAA , WALA MBOWE , WALA BEN, WATU WANAKUWA WANACHAMA WA CHAMA CHA SIASA KWA KUFUATA ITIKADI YA CHAMA NA SIO MTU
 
Chadema kwishaaaaaaa kabsaaaaa.

Mkuu hata mimi natamani CDM ife walau tupumue japo kidogo maana tangu upinzani uingie nchini wao ni kutushitaki kwa wananchi hadi tunakosa kupiga dili zetu hadi Watz wameanza kuamka usingizini
 

Si mgeenda ccm au chama chochote kama act au kile cha Mtikila
 
Dozi ya LOWASSA inavuruga vichwa vya LUMUMBA. HEHEHE MABADILIKOO....
 
hata kama likigawanyika mara7, bado kura ni kwa LOwasa...na wabunge wa ukawa..

hizo nyingine ni propaganda za LUMUMBA... au masaki IT team!!

4U Movement wao ni Lowasa tu potelea mbali chadema ikifa, kazi kwao
 

Naona ni sawa na FISI AKISUBIRI MKONO WA BINADAMU UKATIKE

Inawezekana tukawa tunatofautiana lakini kuna mahali tunabaki wamoja.
 
Dr slaa akupumzike. Pia acheni kuandika uongo wa ivo. Jie ndo wasemaji wa CDM?
Mbona hamsemi ccm ina makundi matano ?
Matapeli,
Wazushi
Wachochea vurugu
Wezi
Wavujaji wa pesa za uma?

Jitambue wewe unajiandikia kama umekanyaga moto


Utaambulia MATUSI
 
CHADEMA wataisoma namba CCM mbele kwa mbele

Ni kweli kabisa.Bila kusomba watu mikutano haifanyiki,na kwa namna hii nategemea siku ya kupiga KURA msisahau kwenda kuwababeba.

Maana safafri hii hakuna hata kura moja kwa UPINZANI.
 
Dozi ya LOWASSA inavuruga vichwa vya LUMUMBA. HEHEHE MABADILIKOO....

Chezea Ngoyai wewe acha Lumumba waisome namba, ooh mara mgonjwa ooh mara mdini ooh mara gaidi, sasa kama ana vyote hivi mbona mnatumia nguvu kubwa kumuattack kwa kila propaganda chafu.
 
hivi kosa la lowasa ni lipi mpaka ccm mtoe mitusi yote hiyo dah balaa,ungegombea slaa , hapa ccm mngekuwa mnachekelea tu C ndio haaaaa kasi kweli wabongo
 
jitambue kwanza
 
Watu wa Chadema wana nunulika kama vitumbua. Juzjuz tu hapa walikuwa wanaimba lowasa fisadi
 


Nyie wote mnao ihadaa Chadema eti chadema asilia ohoo Slaa.Contract yenu mwisho tarehe 24.Mungu ni mwaminifu na baada ya hapo.Yaliyomapenzi ya Mungu yatatimizwa.Slaa asubiri huruma ya Magufuli.Na ikishindikana hiyo ni bae bai ila chadema itapakia palepale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…