CHADEMA yameguka vipande viwili


lowassa anatisha!dozi yake imewatosha.
 

ccm imevunjika vipande vipande zaidi ya mara mbili
 
Kama CDM imegawanyika basi hiyo ni sherehe kwa CCM.Kwa hiyo shangilieni ushindi unakuja.
Mimi iwe mchana iwe usiku Kura Yangu ni kwa LOWASA na UKAWA.CCM bado ni ileile haijabadilika katika kuwatesa WaTZ, siwezi kuichagua ng'o.
 

Lahasha wewe unayeunga mkono wezi wakati hupendi wizi na umeletewa mtu msafi na CCM bado hujaelewa ndo tukuiteje?
 
haa haa umenikumbusha vipande vya ccm. ccm maslai ikiongozwa na nape na ccm imani ikiongozwa na kingunge wakati ule...
 

Kiongozi!


Hapa umeua. Maana umepiga za kichwa kabisa.
 

wafuasi wa Dr wameangushwa na Dr Slaa mwenyewe, amebaki MM pekee ngoja nae akose mgao uone
 
Chadimu walisha kosea toka mwanzo sasa watavuna walichopanda October 25/10 chaliiiii +na kuvunjika
 
hata kama likigawanyika mara7, bado kura ni kwa LOwasa...na wabunge wa ukawa..

hizo nyingine ni propaganda za LUMUMBA... au masaki IT team!!
Haya majibu ndio yanazidi kuwapa hasira wapiga kura hivi mnajua? Mnazidi kuharibu kwa majibu haya. Wengine wameshaamua kwa hasira watapigia Magufuli ili kukomesha haya maneno ya kejeli. Wewe kura yako si moja, subiri uone sunami ya kura kwenda kwa Magufuli. Na mimi nawa support after all kamanda wangu Dr Slaa hagombei chohote
 

Hata hivyo chadema asilia tulishatoa tamko letu baada ya kuona sintofahamu aliyotendewa kamanda wetu Dr Slaa na wengine wagombea ambao walishinda kwenye kura za maoni lakini wakakatwa wakaingizwa mamluki kutoka ccm. Angalia majimboni hali ilivyo ukawa kwa ukawa wanapambana zaidi ya majimbo 50. ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…