assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,909
- 4,057
leo hii MBOWE anawalamba miguu watu wa CUF ambao siku za nyuma waliwatukana , TUNDU LISSU na kifaranga mwenzake WENJE ambao waliwatusi sana NCCR leo wamejificha nyuma yao, ama kweli CHADEMA ni taka taka
The same hopeless noise as usual.
rip chadema
Ni bora ccm inayoongozwa na wezi, wauaji, wanyang'anyi wasio na utu chini ya kuu la majambazi JM Kikwete akishirikiana na makada wa ccm ife nao wafe kuliko hiki chama dume chama cha kikombozi cha makini CHADEMA. Mungu ibariki Tanganyika Mungu ibariki Zanzibar Mungu ibariki Tanzania Mungu ibariki CHADEMA.
Unajifariji sana mjomba kama MUNGU haishivyo msipotubu dhambi yenu matakufa siku zenu ziko mikononi mwa MUNGU dhambi yenu ni kubwa kwa watanzania wote so kifo ni haki narudia kusema msipotubu dhambi yenu mtakufa. Wanaoshiriki wote katika haya madhambi lazima mtakufa.
rip chagadema
rip chagadema
Kwa kuwa uelewa wako umetekwa wewe ni wakuhurumiwa tu,rip chagadema
Unazungumzia chagadema lile genge la wachumia tumbo?
Wanaonishangaza zaidi ni hao CUF na NCCR. Walitukanwa na chadema kupita kiasi, sasa vipi tena?
Kwa kuwa uelewa wako umetekwa wewe ni wakuhurumiwa tu,
bila shaka isingekuwa ukawa CHADEMA ingekua end of game. hv ss madhaifu na migogoro iliopo chadema imept coverup ya ukawa.
Vipi waanzilishi wa TAA nasikia walitukanwa na Nyerere na hatimaye TAA ikavunjwa na kuundwa TANU hata hivyo waliendelea kuwa na Nyerere, pamoja na wajomba zako... Nahiyo ndio sababu ukisikia jina la Nyerere tumbo la hedhi linakushika!Wanaonishangaza zaidi ni hao CUF na NCCR. Walitukanwa na chadema kupita kiasi, sasa vipi tena?