chadema nyumbani mmeshindwa kenya mtaweza vp! nendeni na nyinyi mkapige kura! alaf msitudanganye dr. slaa hakuwahi kushinda na wala hatokuja kushinda! nyie endeleni kusema kuna makontena ya kura yameingizwa nchini na kuhamasisha maandamano, jeshi lipo limejipanga kuwashikisha adabu!
Kama SISIM kule malawi eee.
ni kweli inawezekana kwa sababu siasa za kenya ni za ukabila zaidiNaona unaota ndoto kama Dr.Slaa. Rais ni Kenyatta.
Si suala la kwamba ccm wamefanya ama hawajafanya, muhimu ni kuangalia kama ushirikiano huo una athari gani kwa chama chetu ama nchi yetu. Vyama vya siasa duniani kote vinashirikiana katika nyanja mbalimbali kadri ya mahitaji ya kila chama na nchi husika.
Lakini najua ninyi mliolishwa nyamafu na ccm huwa mkiona jambo limefanywa na Chadema hamuachi kutokwa na mapovu. Kila jambo linalofanywa na Chadema huwezi kulifananisha na jinsi ccm wanavyolifanya ama kutaka kuigeuza ccm kuwa ndio msahafu huo ni ufinyu wa fikra.
Na kuna mambo mengi ambayo yanafanywa na ccm si kwakuwa ni ccm bali kwakuwa ndivyo mfumo wa maisha ulivyo ama mfumo wa kijamii unavyotaka na si suala la ccm. Ukweli ni kwamba ccm hawajawahi kuasisi kitu chochote ambacho kimeweza kutumiwa kama mfano huko duniani kwahiyo jaribuni kupanua akili yenu kutooona kila kitu kwa miwani ya ccm.
Kuna
busara kwenye paragraph yako ya kwanza lakini 2 za mwisho umerudi
kwenye ushabiki. Ni vizuri tukaachana na mtindo wa kushangilia kila
litendalwo na vyama mtu anavyovipendelea na kuangalia zaidi ubora au
ubaya wa yanayotendwa.
Ushirikiano ktk kitu fulani nimzuri athari haziepukiki na hazizuii kitu kufanyika.
chadema nyumbani mmeshindwa kenya mtaweza vp! nendeni na nyinyi mkapige kura! alaf msitudanganye dr. slaa hakuwahi kushinda na wala hatokuja kushinda! nyie endeleni kusema kuna makontena ya kura yameingizwa nchini na kuhamasisha maandamano, jeshi lipo limejipanga kuwashikisha adabu!
Mwanzoni nilikuwa namsupport Raila Odinga,lakini navyoona CDM kujipendekeza kwa Odinga nimeamua unexpectedly kubadili maamuzi yangu na kwa sasa nimeamua kwa dhati kumuunga mkono Uhuru Kenyatta na kwa dhati ninamwombea mafanikio mema.nawakikishia Kenyatta lazima atkuwa mshindi tu.
mgombea anaeungwa mkono na chadema kenya hoi
ni kweli inawezekana kwa sababu siasa za kenya ni za ukabila zaidi