mkuu samahani kama nimekukwaza ila nlistuka sana kuiona bukoba ilivyo kulingana na ninavyowajua wahaya na mbwembwe kibao huku mjini ila bukoba bado sana,miji imechoka sana,HONGERENI KWA CHADEMA KUSHINDA Ila kunahitajika ukombozi wa fikra kwa watu wa kagera magamba yanawaona nyie ni warahisi sana kurubunika hata wasukuma wamejivua uchafu wa ccm.