Kashaijabutege
JF-Expert Member
- Oct 20, 2010
- 2,696
- 740
CDM kimeshinda uchaguzi wa Mwenyekiti wa Kijiji cha Burifani, Kata ya Kyaka, wilaya ya Misenyi, ambacho ni makazi ya Mbunge wa Nkenge, Asumpter Mshana. Mgombea wa CDM, Deogratias Laurian, alipata kura 401 dhidi ya kura 129 za Mathias Kibarwiga wa CCM. Placid Vedasto wa TLP alipata kura 2.
Habari zaidi soma Mwananchi la leo uk.9. HONGERA CHADEMA
nshomile ujanja mdomoni, hata sie afadhali wasukuma kanda ya ziwa tumeamka siku hizi nyie bishoo ukifika bukoba kamji kamechooka eti stendi ndo city ccentre! U cant believe huko ndo wasomi nshomile wanatoka. U need 2 change!akotoNice, Wahaya wabadilike!!! Wasomi wote inabidi wabadilike, angalia wachaga, wanyakyusa mwendo mdundo tu, nshomile ndio mlibaki nyuma.
Kashaija butegenkatela ema**olubalaitule! Omugani ogwo nogumanya?
Nice, Wahaya wabadilike!!! Wasomi wote inabidi wabadilike, angalia wachaga, wanyakyusa mwendo mdundo tu, nshomile ndio mlibaki nyuma.
Kashaija butegenkatela ema**olubalaitule! Omugani ogwo nogumanya?
nshomile ujanja mdomoni, hata sie afadhali wasukuma kanda ya ziwa tumeamka siku hizi nyie bishoo ukifika bukoba kamji kamechooka eti stendi ndo city ccentre! U cant believe huko ndo wasomi nshomile wanatoka. U need 2 change!akoto

Ahsante Mkuu Kashaijabutege kwa kutuhabarisha, ingawa avatar yako inanikumbusha huyo jamaa akiwa kwetu Igayaza hospitali ametundika bendera yake. CHADEMA ni moto usipime, huko huko vijijini walikodhani watu wamelala sasa wameamka!!!!! VIVA CHADEMA VIVA MAGEUZI YA KYAKA!!!!CDM kimeshinda uchaguzi wa Mwenyekiti wa Kijiji cha Burifani, Kata ya Kyaka, wilaya ya Misenyi, ambacho ni makazi ya Mbunge wa Nkenge, Asumpter Mshana. Mgombea wa CDM, Deogratias Laurian, alipata kura 401 dhidi ya kura 129 za Mathias Kibarwiga wa CCM. Placid Vedasto wa TLP alipata kura 2.
Habari zaidi soma Mwananchi la leo uk.9. HONGERA CHADEMA
Wakuu mbona mnanipa raha, hadi nyumbani sasa CDM imeshika kasi, spidi iwe hiyo hiyo tunawaombea mafanikio!!!! UKOMBOZI NI SASA VIVA CDM!!!!!Ushnd huu ume2pa faraja kubwa,ingawa CCM waliweka vikwazo mbalimbali,ila tumedhiirisha nguvu ya umma na tulianza na mungu na kumaliza na mungu& ni salamu kwa mbunge ajiandae na tsunami ya CDM