Tanzania hakuna nguvu ya umma, kama unaitegemea hiyo usahau ushindi 2015. Jiografia ya Tanzania na asili ya watanzania kuwa wanafiki, wasiopendana vinawafanya wagawanyike kiasi cha wao kutokuwa na sifa za nguvu ya umaa.
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) cha kaidi agizo la serikali la kusitisha mpango wake wa kuwapatia mafunzo vijana kwenye kikosi maalum kwa ajili ya kukilinda chama na jamii kwa ujumla.
Hapo kwenye RED kama mtangazaji alitangaza hivyo kutakuwa na walakini wa habari hiyo na itakuwa ni ya kubumba ni kweli CHADEMA walisema lengo la kimarisha RB ni kuilinda jamii kwa ujumla wake?