Chama cha Demokrasia na Maendeleo kinatishia kukitokomeza CCM katika jimbo la Iramba Magharibi.
CHADEMA kimeanza operesheni kubwa katika jimbo hilo ambapo imefanyika mikutano mfululizo katika Kata za Ndulungu,Kaselya na Kidaru.
Chama hicho leo kitashambulia kata ya Mtoa na kuanzia kesho kitawasha moto katika kata za Kiomboi,Ntwike,Shelui,Ndago,Kinampanda,Mgongo na Tulya.
Operesheni hiyo kubwa inaongozwa na Makamanda wa CHADEMA ambao ni Dr Kitila Mkumbo,Jesca Kishoa maarufu kama Iron Lady,David Djumbe na Makamanda wengine wa Singida.
Kwa hali inavyoonekana Chadema imeiva zaidi jimbo la Iramba Magharibi kuliko jimbo lingine lolote katika mkoa huo.Mamia ya wananchi wanachukua kadi za chama katika kila Kata na matawi yanafunguliwa mfululizo.
Pia kuna taarifa baadaye mwaka huu CHADEMA itakuwa na mikutano mfululizo zaidi ya 100 katika Jimbo hilo.[/QUOTE
Hali ya CDM IRAMBA MAGHARIBI ni nzuri mno. Mara kwa mara naenda huko na kukutana na wananchi wako na mwamko wa juu sana.
Nimekutana changamoto ya kutakiwa niwapelekee kadi na bendera watundike majumbani mwao. Nilizidiwa na mahitaji pamoja na upatikanaji wa hivi bendera kuwa mgumu hapa niko mwanza natafuta bendera.
Kitaeleweka tu.
Mungu akubariki sana mkuu MAPUMA MIYOGA kwa hiyo kazi Takatifu unayofanya ya Ukombozi
Chama cha Demokrasia na Maendeleo kinatishia kukitokomeza CCM katika jimbo la Iramba Magharibi.
CHADEMA kimeanza operesheni kubwa katika jimbo hilo ambapo imefanyika mikutano mfululizo katika Kata za Ndulungu,Kaselya na Kidaru.
Chama hicho leo kitashambulia kata ya Mtoa na kuanzia kesho kitawasha moto katika kata za Kiomboi,Ntwike,Shelui,Ndago,Kinampanda,Mgongo na Tulya.
Operesheni hiyo kubwa inaongozwa na Makamanda wa CHADEMA ambao ni Dr Kitila Mkumbo,Jesca Kishoa maarufu kama Iron Lady,David Djumbe na Makamanda wengine wa Singida.
Kwa hali inavyoonekana Chadema imeiva zaidi jimbo la Iramba Magharibi kuliko jimbo lingine lolote katika mkoa huo.Mamia ya wananchi wanachukua kadi za chama katika kila Kata na matawi yanafunguliwa mfululizo.
Pia kuna taarifa baadaye mwaka huu CHADEMA itakuwa na mikutano mfululizo zaidi ya 100 katika Jimbo hilo.
Aisee Makamanda, shikilieni hapo hapo, msitoe mguu kwenye Clutch!
Typing err baharini
Hhahahaha!!!acheni kuwapa watu preshs bure,nyie chadema au lengo lenu mnataka man u au arsenal zije iramba? acheni hizo jamani
Usiwe na shaka kwani Shetani hawezi kushindana na Mungu.
mimi mweyewe nimepita sherui na nimeongea na akina mama wa hapo sherui ki ukeli mwiguru ana kazi kubwa sana kuna ahaadi aliitoa kwa hao akina mama ajaitekereza na wameahidi kumpitisha mgombea yeyote wa chadema atakaye gombea hilo jimbo kwani wanasema tundu lisu kawafungua macho hayo si maneno yangu bali ni maneno ya wamama wa sherui
Teh teh, mwigulu itabidi ailete barca huko iramba, vinginevyo akusanye waganga wote huko iramba kwa ajili ya kuloga m4c! Naombeni makamanda walioko huko iramba watuwekee namba ya Mpesa ili tuchangie ukombozi kwa ndugu zetu wa iramba!