CHADEMA yajiengua UKAWA

Status
Not open for further replies.
Ama kweli LB7 kwa hadithi za Sungura kamkaba Tembo mpo juu.
 
Cuf na nccr wanadanganywa na chadema bila kujua,uchaguzi ukikaribia ndo wataisoma namba
 
Mwandishi ameonyesha udhaifu mkubwa kwenye kujenga hoja, he is less informed anachoona ni finished product lakini hajui process yake inaendaje.

Ila nampongeza kwa uwezo wake wa kujua majina ya watia nia lakini hajui kinachoendelea ndani ya UKAWA.

Kama tatizo ni Chadema kutoa ratiba basi namfahamisha tayari vyama washirika vimeshatoa tena vimeenda mbali zaidi kwa kutangaza wagombea wao wakiwemo wa urais.

Kuhusu ACT kutoruhusiwa kujiunga na UKAWA hilo ni irrelevant kwa sababu UKAWA ina taratibu zake sidhani leo ACT wakiomba kujiunga na CCM wataambiwa njooni bila makubaliano maalumu.

Nafikiri lengo kuu la mwandishi lilikuwa ni kuona wanachama wa vyama washirika wa UKAWA wakiilaumu Chadema kinyume chake ameitangaza zaidi Chadema kwa kutuonyesha hazina ya wagombea ilionao.
 
hawa wasomi wote wanapatinakana chadema lakini ukienda upande wa pili unakutana na JAAA PIPO,MAJI MAFUPI
 
Mtasubir sana kama vle kusubir meli mlizoahidiwa na Shemej. Ukawa haifi ila inazidi kuwaumiza viongozi wenu nyie chama cha mapunga
 
Mleta mada hajui kiswahili,pengine anajua lakini akili kaweka mfukoni kama ilivyo desturi ya jamii fulani hivi!
Yajiengua=inaonesha utimilifu wa kitendo!
Akili ndogo kutawala akili kubwa
 

gazeti la udaku na h habari za umbeya.
 
Propaganda za ajabu kabisa;mmiliki wa hili GAZETI si ndio Rugemali?
 
Wanchoke Juma Chinchibera
Graduce Lucas
Yeremia Kulwa Mganja
Anna Ryoba
Ferdinand Chiguma
John Kitoka

Edoro C. Edoro
Matiko Seruka
Opiyo G Opiyo
Sunday Magacha
Masanja Madoshi
Robert Gwabo
Manyangu Kulengwa
Martin Makondo
Joseph Buluba

Masalu Machege
David Nicas
Moses Masunga
Jeremiah Masuka
Lutandula Mabimbi
Zacharia Shigukulu
Martin Mlunja
Winfrida Sayi
Emmanuel Chonza
Baega Masuna
Mashuda Wilson
Joseph Buluba

Mrugwa Mashenene
Busulu Mahangi
Ezekiel Joseph
Tole Ntemiatalemaga
Patrobas Katambi
Francis Kasili
Maige Hungwi
Revocatus Makoye
John Musita
Eugen Mkama
Daha Joseph
Lulengo Kaswahili
Jasper Ntobi

Malale Bujiku
Ernest Baringi
Victo Runyoro
Solomon Kambarangwe
John Malanilo
Peter Bujari

Ansbert Ngurumo
Erasmus Erneus
Richard Kiwali
Egida Nkanga
Alfred Sotoka
Prosper Kasenegala
Emmanuel Masonga
Dicley Mlelwa
Frederick Kibweho
Creptone Madunda
Shibanda Mwashibanda
John Mwamengo
Brighton Nswila
Moses Mwaigaga
Joseph Ryata
Mbozi Mashariki
Fadhil Mwaya
Sophia Mwabenga
Andrew Bukuku
Albert Chenza
Pascal Haonga
Bob Mwampashe
Lusekelo Mwasasumbe
Alinanuswe Mwalwenge
Andrew Bukuku
Clemency Kyando
Mchungaji Bryson Mwansimba
Wolfgang Wanga
Satiel Jonace
Ambakisye Mwakifwange
Mpoki Mwankusye
Nicolaus Mtindya
Philipo Mwakibinga
Julius Sabuni
Gibson Meiseyeki

Dastan Sagwavu
Charles Mgaya
Mohamed Wandi
Charles Mattu
 

Wewe tena,ndio umetoka usingizini?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…