Kwenye fedha ndiko tunataka kusikai watasema nini maana Mbowe katuhumiwa kula pesa nk .Kwenye fedha tunataka kuona Changes na signatories wanakuwa watu ambao ni watendaji na Mbowe aachie sahihi . Chadema wawe na Accountant ambaye hataliliwa kwamba ni mchaga .
Kupanga shughuli za kutekeleza Mpango Mkakati wa chama kuelekea uchaguzi wa mwaka 2010.Mkuu mbona agenda ya Kafulila & Juju sijaiona? au mtawajadili/mliwajadili kwenye mengineyo? au sisimizi hawajadiliwi? na hili la zitto kuwapa nccr mageuzi magari kwa ajili ya kampeni ya kafulila mmeliangaliaje?
ni hayo tu mkuu.
Ni kikao cha kawaida, au cha dharula?
Ivi pale kwa mfipa hakunaga ukumbi wa mikutano.
Na hizi nyimbo haizitakaa zichuje CDM as long as waanzilishi na matajiri wa chama ndio wenye maamuzi. Tutaisikia tena na tena, leo kwangu, kesho kwako.
Mbona wameandika '' imetolewa tar 2 Disemba 2009 ? Is this a typo error? Or this meeting took place five years ago?
inamanagani kuwekwa hapa hi post mbn niya kilong kinouma tunataka currently issue
wanafiki watupu hawa..,wanadiscuss nini...watu wanazulumiwa kura zao wanashindwa kutoa hata mchango wa wakili ati jichangisheni muende mahakamani...dems chama....ndio maana kafulila maneno yake yasipoaminiwa hivi sasa yataaminiwa na wajukuu wa chadema ipo siku
Jitahidi kuwa mwangalifu!!!!!!!!!!!!!!!!!
Hii taarifa ya December 2,2009 na sio Jananuary 2,2014.