MWANAKASULU
Senior Member
- Nov 18, 2011
- 198
- 72
Yawezekana wamezomewa kama jana kigoma halafu mnaanza kupotosha semeni ukweli.
labda baba la akina Joyce Mukya.
labda baba la akina Joyce Mukya.
Yawezekana wamezomewa kama jana kigoma halafu mnaanza kupotosha semeni ukweli.
jana katika viwanja vya posta kulikuwa na watu ambao hawajahi tokea katika siasa za hapa ngara! watu walikuwa wengi ni balaa na magamba kibao walirudisha kadi,kofia hadi vitambaa! hata ccm wenyewe jana walikili ngome yao imesambaratishwa rasmi.!
huko ngara ndo Mbowe alitoa kafara kwa kumgonga mwendesha bodaboda?
!
!
mkuu uko bize ka mke wa balozi!hivi ni kweli huwa mnalipwa hizo buku sana au mnazushiwa tu?
hapana aisee,we noma. Umahiri wako katika kiherehere umetisha
nyie zungukeni mkimaliza tuna wa subiri baraza kuu.
Chadema yatosha!!!