Mkuu pengine unaccm yako nyumbani kwako ndiyo unazungumzia.CCM tunasubili tu mazishi 2015. Kwisha habari yao.
Yawezekana wamezomewa kama jana kigoma halafu mnaanza kupotosha semeni ukweli.
Mkutano wa kigoma ulifana sana jana, ulionyeshwa ITV ........ wewe ndiyo unayepotosha humu
CHADEMA ni baba Lao....! nyingine ya nini!
labda baba la akina Joyce Mukya.
tumewashtukia ITV. Wanaweka vipande vya picha ya mikutano ya kampeni ya mwaka 2010
huko ngara ndo Mbowe alitoa kafara kwa kumgonga mwendesha bodaboda?
Mkuu pengine unaccm yako nyumbani kwako ndiyo unazungumzia.
Yawezekana wamezomewa kama jana kigoma halafu mnaanza kupotosha semeni ukweli.
Mkuu pengine unaccm yako nyumbani kwako ndiyo unazungumzia.
wana jf hivi ukimwambia mtu we ni malaya ni tusi?, kuliza sio ujingaYawezekana wamezomewa kama jana kigoma halafu mnaanza kupotosha semeni ukweli.