Chama cha Demokrasia na maendeleo-CHADEMA kimeibomoa vibaya ngome ya waziri wa Uchukuzi Harisson Mwakyembe jimboni kwake Kyela.
Hali hiyo imetokea baada ya mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mbeya Juma Mwalunga kujiunga na CHADEMA na kulaani CCM kwamba ni chama kilichochoka na kinapaswa kuondolewa madarakani mara moja.
Kiongozi huyo alikuwa ni nguzo kuu ya CCM jimboni Kyela na ndiye aliongoza kampeni za CCM jimboni humo.
Wanachama kadhaa wa CCM waliohojiwa kuhusu uamuzi huo wameshtushwa na kusema ni wazi CCM itazikwa Kyela.
Source:Tanzania Daima.
Wewe twende polepole unaharaka kama unaoga nje,Chama cha Demokrasia na maendeleo-CHADEMA kimeibomoa vibaya ngome ya waziri wa Uchukuzi Harisson Mwakyembe jimboni kwake Kyela.
Hali hiyo imetokea baada ya mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mbeya Juma Mwalunga kujiunga na CHADEMA na kulaani CCM kwamba ni chama kilichochoka na kinapaswa kuondolewa madarakani mara moja.
Kiongozi huyo alikuwa ni nguzo kuu ya CCM jimboni Kyela na ndiye aliongoza kampeni za CCM jimboni humo.
Wanachama kadhaa wa CCM waliohojiwa kuhusu uamuzi huo wameshtushwa na kusema ni wazi CCM itazikwa Kyela.
Source:Tanzania Daima.
Wajifunze kuandamana au kupigana bungeni sikuelewi make chadema wanaongoza kwa mambo machafu sasa nani ajifunze mambo machafu toka kwao.Mkuu asante kwa kutuletea uzi,magamba lazima wajifunze kua wapinzan shupav 2015
Haraka haraka haina baraka mkuu.Eee! Bandu-bandu humaliza gogo!
Haraka haraka haina baraka mkuu.
Kusanyeni tu masalia ila mjue mvua itawanyea tu hata pakutokea hamtapata.
Hizo ni ndoto za mchana wewe ukitaka kujua kuwa mwakyembe mtambo katie mguu kyela uone kiama chako kitakavyokuwa kikubwa.Nashindwa kuamini kwamba Mwakyembe anapoteza umaarufu wake jimboni haraka kiasi hiki. Nini kinasababisha hali hii wakati 2010 alishinda kwa kishindo!!! na kama nakumbuka vizuri CDM walim'support'???
Kwa nini mliovurugwa hamjifichi hasa wale wa kutokea bavicha.umewasiliana na Juliana kabla ya kulitumia neno ''masalia''?usije kosananae akazira
Asiyekupenda mpende.polepole ya kobe humfikisha mbali
Chama cha Demokrasia na maendeleo-CHADEMA kimeibomoa vibaya ngome ya waziri wa Uchukuzi Harisson Mwakyembe jimboni kwake Kyela.
Hali hiyo imetokea baada ya mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mbeya Juma Mwalunga kujiunga na CHADEMA na kulaani CCM kwamba ni chama kilichochoka na kinapaswa kuondolewa madarakani mara moja.
Kiongozi huyo alikuwa ni nguzo kuu ya CCM jimboni Kyela na ndiye aliongoza kampeni za CCM jimboni humo.
Wanachama kadhaa wa CCM waliohojiwa kuhusu uamuzi huo wameshtushwa na kusema ni wazi CCM itazikwa Kyela.
Source:Tanzania Daima.
Wewe twende polepole unaharaka kama unaoga nje,
umesema ccm imechoka lakini ccm inamiaka 50 lakini slaa anaumri mara mbili ya ule wa ccm hapa na kachoka na anapaswa kuondolewa?
Kwani mjumbe wa nec akiondoka ndiyo ccm imekufa akili yako kama ya lisu mkuu full kuropoka.