ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 82,299
- 88,327
Safi sana. Wananchi wakishapewa somo kuhusu madhila ya ccm wanapewa na futari wasipate shida kuwahi muda wa kufuturu. Big up CHADEMAChadema Sasa waja na mbinu ya Kufuturisha Ili kuvutia Watu kwenye Mikutano Yao ππ
View attachment 2585449View attachment 2585450Inaonesha Wananchi wamechoshwa na hadithi zisizo na matokeo..
Wakubwa wanalamba asali harafu wanakuja kuwapigia kelele Watu.
Chadema Sasa waja na mbinu ya Kufuturisha Ili kuvutia Watu kwenye Mikutano Yao ππ
View attachment 2585449View attachment 2585450Inaonesha Wananchi wamechoshwa na hadithi zisizo na matokeo..
Wakubwa wanalamba asali harafu wanakuja kuwapigia kelele Watu.
Kwani umeandika nini mbona sijaelewa? π€£π€£Kwahiyo wakienda kwenye futari ndio wataona matokeo? Mtu mzima kuleta story isiyochekesha nayo ni aibu ya aina fulani.
Kwani umeandika nini mbona sijaelewa? π€£π€£
Mfyuuuuuuu zaoChadema Sasa waja na mbinu ya Kufuturisha Ili kuvutia Watu kwenye Mikutano Yao ππ
View attachment 2585449View attachment 2585450Inaonesha Wananchi wamechoshwa na hadithi zisizo na matokeo..
Wakubwa wanalamba asali harafu wanakuja kuwapigia kelele Watu.
yaani wewe ni mpumbavu kuliko wapumbavu wengine, VIJANA wa CCM mtakua na akili kidogo lini? Nachoka kuwaelekeza kila sikuChadema Sasa waja na mbinu ya Kufuturisha Ili kuvutia Watu kwenye Mikutano Yao ππ
View attachment 2585449View attachment 2585450Inaonesha Wananchi wamechoshwa na hadithi zisizo na matokeo..
Wakubwa wanalamba asali harafu wanakuja kuwapigia kelele Watu.
Kama mna kiongozi kaliba ya jambazi sikushangai kutoa mitusi hiyoAcheni upumbavu wenu nyie, muwage na akili kidogo tafadhali, acheni kutumia makalio kufikiria
Kuna haja gani kuandika "futari itakuwepo"Kufuturisha ni jambo jema!
Kusini wengi ni Waislamu na Mikutano inaisha saa 12 sasa ni jambo jema kuwajulisha wahudhuriaji!Kuna haja gani kuandika "futari itakuwepo"
Mkitaka Mkutano ndio mnafuturisha? ππKufuturisha ni jambo jema!
Wahi hospital una tatizo la Afya ya akili ndugu mtabiri ππyaani wewe ni mpumbavu kuliko wapumbavu wengine, VIJANA wa CCM mtakua na akili kidogo lini? Nachoka kuwaelekeza kila siku
Hata Yesu aliwalisha Makutano, hiyo ni kawaida sana!Mkitaka Mkutano ndio mnafuturisha? ππ
Akili yako haijui kitu kbs!Chadema Sasa waja na mbinu ya Kufuturisha Ili kuvutia Watu kwenye Mikutano Yao [emoji16][emoji16]
View attachment 2585449View attachment 2585450Inaonesha Wananchi wamechoshwa na hadithi zisizo na matokeo..
Wakubwa wanalamba asali harafu wanakuja kuwapigia kelele Watu.
Ingekuww zama zile za giza, OCD wa Kilwa angeweza kujitokeza hafharani na kuwaambia kila mtu akafuturu kwake kwani hali ya usalama haijakaa vizuri maeneo hayo!!Chadema Sasa waja na mbinu ya Kufuturisha Ili kuvutia Watu kwenye Mikutano Yao ππ
View attachment 2585449View attachment 2585450Inaonesha Wananchi wamechoshwa na hadithi zisizo na matokeo..
Wakubwa wanalamba asali harafu wanakuja kuwapigia kelele Watu.